Search results

  1. A

    Mababu Mko wapi?, Upotoshaji huu Umezidi!!!

    Alicho Andika Huyu jamaa Hapa Jamii forum ni upotoshaji kwa vijana na watu wengine ambao huheshimu uzoefu wa wengine. Jamaa Kaandika haya:- "Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu.. Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1... Wenye nguvu za kiume...
  2. A

    Eti nyie wa Bongo movies na BongoFlava Na hili mnasubiri na Hili Ulaya waanze?!

    Santuri, Kaseti floppy, CD na sasa DVD na USB flash ndio njia ambazo kazi ya Sanaa zimekuwa zimekuwa zikiuzwa na kuhifadhiwa. Japo hizo za mwanzo zimepitwa na wakati Shukrani kwa wenzetu wa Ulaya na Asia kwa tecnoloja Hizo. Hivi kwa mfano yani Mkaja na Flash simple ambazo zinasecurity ambayo...
  3. A

    Kama ungempata yule mdada mwenye kila kitu kama google wakati ule uko sexual active...

    Hivi ushaa wahi kuwaza kuwaza! Yule mdada ambaye enzi zile mzuka wa mapenzi unaanza kutawala maisha yako na ukamuona kama google kwani kila unachotafuta unaona anacho angekuwa anakuja ghetto Maisha yako ya Mapenzi yangekuwaje? Kuna umri wa kuwa uko active kimapenzi. Hisia pia ziko juu na mawazo...
  4. A

    Is this A fact?

    Wakati waislam wakiwashangaa wakristo kuamini kwamba yesu ni Mungu. Wote wanakubaliana kwamba mwanadamu anatokana na Udongo
  5. A

    Ukimpinga Allah katika hili unaweza leta furaha maishani mwako

    Allah Anasema, Msiamini Katika dhana, Kwani Dhana ni Dhambi na uwongo Mtupu. Uhalisia hauko hivyo, Unatakiwa uwatilie mashaka watu wote Cause uhalisia ni kwamba wachache wanajali wewe ni nani, Wengi wanajali watapa nini katika kuhusiana na wewe Kitu cha kwanza unachotakiwa kuwajipanga pindi...
  6. A

    One of Man himself useless fact

    Mwanamke Mzuri wa kazi gani wakati watu tunafanya mapenzi gizani
  7. A

    Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

    Nabaki na shangaa! Wagonjwa wa akili hupoteza uhusiano na uhalisia, Wanasikia sauti za watu ambao hawapo sehemu husika na wakati mwingine kuona vitu ambavyo wengine hawavioni. Wanakuwa na harakati ambazo huwa na namaana kwenye akili zao peke yao. Siwezi pinga kwamba niliishi na depression...
  8. A

    Maisha yangu katika wodi za vichaa

    Nilikuwa na bishana na madaktari mwanzo mwisho. Na siku nyingine na goma kuhojiwa kwa sababu nilikuwa sitaki kubishana na wapumbavu. Ishu ninazoongea ni simple hazihitaji hata tuition kuelewa. Sehemu tata ambayo sasa ni megundua nilikuwa nazingua ni kumuweka mungu kama master mind kwenye...
  9. A

    Suala la Gwajima linahitaji weledi Katika kulishughulikia

    Suala la video ya ngono ya kiongozi wa dini kuvuja sio dogo. Vitendo vya ulawiti na mapenzi ya jinsia moja vimekuwa vitu vya kawaida katika dunia ya leo. Baba askofu ametoa maelezo mengi juu ya picha jongefu iliyowekwa kwenye mitandao na akadai kuwa yeye ni mhanga tu wa tukio hilo na kwamba...
  10. A

    Serekali ya bongo na criminal mind.

    Serekali ya kibabe ambayo inafahamu kwamba siasa ni maisha ya watu ambano wanafungama kiitikadi kama yalivyo madhehebu ya dini. Serekali ya CCM na mipango ya mauwaji ya hailaiki au kuchakaza wale ambao huamini kwamba mengi Zaidi ya haya wapatayo watanzani yanawezekani wamewekewa vizingiti vingi...
  11. A

    Mungu au Shetani? Tutazame upande wa pili wa shilingi

    Tulianza maisha kwa kuzaliwa. Tukajazwa hadith juu Wema wa mungu na uovu wa shetani. Habari wanazotuambia zimechukuliwa katika vitabu vya watu wa kale. Kila mmoja na wakati wake na wengine wakawa na ushawishi mkubwa kushinda wengine. Vitabu hivyo pia viliandikwa na wanadamu ambao walizaliwa...
  12. A

    Harmonize tupe atarudi sehemu ya pili

    Nimekuwa na tazama video ya harmonize ya wimbo wake wa atarudi lakini hiki kipande cha mwishoni nilikuwa sijakiona. Mwishoni anaoneka harmonize na mvi kibao akiwa na mjengo wa maana na mtumishi wake. Kisha anatoka yule mwanamke aliye mtelekeza na watoto akiwa dhoofulihali. Kisha inaishia hapo...
  13. A

    Hakuna Haja ya kuongeza Maumbile ya kiume

    Kumekuwa na Matangazo mengi juu ya kuwepo kwa dawa ya kuongeza urefu na kunenepesha maumbile ya siri ya wanaume. Pindi ukisikia au kuona matangazo haya inabidi uyapuuzie. Hakuna Mwanamke mwenye uchi mkubwa. Aliyeumba alipangilia vizuri. Saizi moja ya uchi wa mwanamke inatosha kabisa yaani...
  14. A

    TCRA mnanini cha kutuambia sisi watumiaji wa Azam TV

    Ni Zaidi ya miezi mitano sasa tangu channeli za runinga za maudhui ya bure ziondolewe kwenye ving’amuzi vya Azam TV na kwingineko. Watumiaji ya azam tv tukaambiwa tuwasilishe malalamiko yetu kuwa njia ya posta na barua pepe juu ya muda na kiasi ambacho tumelipia channel za maudhui ya bure...
  15. A

    CCM kupewa Rungu na Majaliwa ni kinyume cha haki na usawa

    Tanzania ni nchi ya kidemocrasia na inaruhusu uwepo wa vyama vingi. CCM sio chochote Zaidi ya chama cha kisiasa. Kwa sababu kilishinda uchaguzi basi ndicho chama chenye haki ya kuunda serikali. CCM ndio wenye dhamana ya kuunda mhimili wa utawala. Kwa hiyo viongozi wa serekali inabidi watoke CCM...
  16. A

    Mafanikio ni pamoja na kuwanikiwa na mwanamke/Wanawake

    Sahau kuhusu mke mwema, mzuri, atakaye kuwa nawe wakati wa raha na wakati wa shida. Mwanamke mpenda dini, mwanamke ambaye anakupenda wewe kama wewe na sio mali na mazingira yanayokuzunguuka. Sahau hilo Itaishia tu ingewezekama ningekuwa wako/ Ingewezekani ungekuwa wangu ila blab bla bla Hapa na...
  17. A

    Nashindwa kumuelewa Mhadhiri wa Iringa

    Wanadamu tunatofautiana katika utashi. Wako ambao hufurahia kufanya ukatili au kusherehekea matukio ya kikatili. Hii huletwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaona wengine duni na sio bora kama wao. Tukio la mtu kupigwa risasa 16 sio tukio dogo. Kumsikia mhanga wa tukio kama hilo akipaza sauti ili...
  18. A

    Comedy yafikisha viewers milioni moja ndani ya saa

    Wanasema kizuri kula na ndugu zako. Nimeona mstaa wengi wa bongo wakifikisha viewers Millioni moja ndani ya siku nzima, Lakini hii sasa ni kiboko. Msanii anayechipukia katika comedy Mtambo ambaye kwa sasa amehamishia shughuli zake wilayani Lushoto amefikisha viewers 1.03M ndani ya saa moja na...
  19. A

    Mtambo aeleza sababu ya kujiita Man Himself

    Msanii wa maigizo ambaye amejikita katika uchekeshaji Ahmad Juma maarufu kama Mtambo amefunguka juu ya tabia yake ya kujiita Man himself. Msanii huyo ambaye hupatikana kupitia channel ya YouTube iitwayo Mtambo Comedy amefumwa na mdau ambaye hakupenda jina lake kuwekwa wazi akiwa kijiweni maeneo...
  20. A

    God is in constant War. (Period)

    God is constantly in war, His disire is to villain other spirits. God is spirit and spirit comes from another spirit. Labda tujiulize ilichukua muda gani wa yeye kujitambua kuwa ananguvu zote tangu aibuke. Na kwanini haziangamizi nguvu za kiza na roho chafu zinampoteza mwanaadamu. I think kuna...
Back
Top Bottom