Serekali ya bongo na criminal mind.

Ashelimo

Member
Jul 31, 2015
45
29
Serekali ya kibabe ambayo inafahamu kwamba siasa ni maisha ya watu ambano wanafungama kiitikadi kama yalivyo madhehebu ya dini. Serekali ya CCM na mipango ya mauwaji ya hailaiki au kuchakaza wale ambao huamini kwamba mengi Zaidi ya haya wapatayo watanzani yanawezekani wamewekewa vizingiti vingi. Hawana nafasi ya kukutana na kupanga mipango yao. Serekali Wanakwepa jukumu la kuweka ulinzi kwa wale wachache ambao wanapaswa kulinda na Sheria kwa sababu wao ni kundi dogo ambalo halijashinda. Kama kunaviashiria vya uvunjifu wa amani kwenye mikutano ya wapinzani na si CCM basi vijadiliwe mapema na isiwe kisingizio cha kukwepa Majukumu
Maana Kwenye Democrasia Wengi hushinda na wachache hulindwa na sheria kwa sababu dunia ni nyumbani kwetu sisi sote
Kuna genocide ilipangwa kufanywa kwenye April 26 ya mwaka Fulani eti tu kisa mange katangaza maandamano.
ACT pia wanafahamu umuhimu wa kutochakaa au kuwahishwa kwa Sir God
Rwanda inakotoka ndiko huku Tuelekapo.
Viva Kagame. Penda sana Rwanda
I Declare Interest = I’missing 2015 election in near future. I need it back

If the government real want to have true power it need to let every project they want to take it goes through grindstones of Critics and have and omit anything unfit from it or to drop it.
Ukipata adui unayemudu basi Muombee Dua kwa Mungu unaye Muabudu ili azidi kukuumbua. Na mwisho wa siku wamekufunza na hutowasau asilani
Muwe na akili kama database
 
Back
Top Bottom