Suala la Gwajima linahitaji weledi Katika kulishughulikia

Suala la Gwajima linahitaji weledi Katika kulishughulikia

Ashelimo

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
45
Reaction score
29
Suala la video ya ngono ya kiongozi wa dini kuvuja sio dogo. Vitendo vya ulawiti na mapenzi ya jinsia moja vimekuwa vitu vya kawaida katika dunia ya leo.

Baba askofu ametoa maelezo mengi juu ya picha jongefu iliyowekwa kwenye mitandao na akadai kuwa yeye ni mhanga tu wa tukio hilo na kwamba hakushiriki tukio hilo kwa namna yoyote

Polisi wamesha sema kwamba hakuna mlalamikaji lakio sio kitendo kizuri kwa hiyo watashughulikia suala hilo kama masuala mengine ya jinai na udhalilishaji

Alichofanya baba askofu baada ya video ili kuvuja nimekichukulia kwa namna mbili. Namna ya kwanza ni huenda amehusikika
Kuna mwanafalsafa mmoja nayeitwa Kopmeyer, Mwanafalsafa huyo alisema maneno haya. Tatizo ni kama bomu, Bomu mara zote linamatokeo hasi, Kila bomu lina “fuse” yake, Ukiweza kuidhibiti fuse (defusing fuse) ya bomu basi sehemu iliyobaki ya bomu inaweza kutumika kwa manufaa . Kwa upande wa tatizo kuna sehemu yenye utata (confusing part). Kitu unachotakiwa kutatua tatuzo basi una vuruga sehemu tata (confuse confusing part) ya tatizo na mwisho wa siku utakuwa umelishinda tatizo sababu mwisho wa siku hakuna atakaye weza kukutuhumu moja kwa moja.

Kwanza ilienea video ya ngono, Watu wakashangaa kumbe hata baba askofu nayeye hakuachwa mbali kwa hivi vimechezo vya kulawitiana
Alichofanya baba askofu kwenye media ni kuongeza utata katika sehemu ambayo inautata ya tatizo lenyewe na kuwaacha watanzania na maswali mengi

Kwa upande mwingine labda ameonewa na ndio maana aliweza kugundua kuwa mkono uliokuwa umeshika simu ni wa baunsa na mwanamke hamjui
Ningependa serekali itende haki, Kama kuna watu wanamchafua basi washughulikiwe, na kama anacheza vimechezo vya kulawitiana basi jamii iwekewe wazi kwamba mtu yule waliokuwa wanamuona mtakatifu ni tapeli tu na watu wachukue ustaarabu wao na kusaidia katiaka kumshusha kwani nafasi aliyoshika na vitabia kama hivyo hakuna atakaye pona kwenye vimechezo vya kunajisiana
Ushauri wangu kwa Polisi.

Mwanamke ambeye anadhaniwa kuwa amemzalilisha askofu huenda ndio mzalilishaji mwenyewe. Kwa hiyo lazima apatikane. Hapo ndipo tutazijua mbivu na mbichi. Haiwezekani mtu achafue picha ya mtu anayeheshima kama Askofu Gwajima na akaachwa huru huku jina la Askofu likizidi kuchafuka katika jamii. Inabidi aeleze ni akinani walipanga ka mchezo kale kachafu ili tu Kudhalilisha mtu anayeamininiwa kuwa msafi na mtakatifu katika jamii yetu
Pia jeshi la polisi linatakiwa kuwa na vifaa na wataalamu ambao wanaweza kuchunguza picha na video na kufahamu kwa ni kazi ya msanii au tukio halisi. Kama wataalamu hao hawapo basi ningependa polisi wetu wawahusishe wataalamu kutoka nchi za wenzetu ambao wanaushurikiano mzuri nao katika masuala ya picha na video ili suala hili lipate ufumbuzi na haki kutendeka na kuulinda ustaarabu na maendeleo ya ubinadamu hasa hapa nyumbani Tanzania

Imeandikwa mimi Ten Dee kwa post nyingine kama hizi Tembelea ten dee site
 
Hii video haina utata wowote na haihitaji degree ya IT kujua kuwa ile kitu ni OG kabisa...
Hakuna editing yoyote na mzigo alikula mwenyewe...hakuna anayemlaumu kwa kuanguka dhambini kwa pisi kali kama ile....

Yeye atubu na atasamehewa...shida ni kuendelea kuwadanganya watu kama watoto wadogo
 
ile kitu ni og kabisa ni yeye ila Kuikataa video kuwa yeye imemsaidia sana kuliko angekubali angekuwa amewachafua hadi watumishi wote wasiaminike nampongeza ametumia akili kubwa sana hali itaendelea kuwa hivyo ya utata kuwa ni yeye au sio ?mpaka watu watasahau kabisa
 
Kweli mkuu.
Jana nilikutana na classmate wangu ni muumini wa gwajima..yaani jamaa anaamini kabisa ile ni editing hadi nikahisi kuna kitu wale jamaa huwa wananyweshwa ili kuwekwa sawa..

Kwa kukana kule yatapatikana makundi mawili ambayo yatabishana bila muafaka na kwsi itaisha
 
ile kitu ni og kabisa ni yeye ila Kuikataa video kuwa yeye imemsaidia sana kuliko angekubali angekuwa amewachafua hadi watumishi wote wasiaminike nampongeza ametumia akili kubwa sana hali itaendelea kuwa hivyo ya utata kuwa ni yeye au sio ?mpaka watu watasahau kabisa
Haiwezekan afanye yye then wachafuke wengne ,kma angekubali basi hilo janga angekula peke yake
 
Back
Top Bottom