Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

Ashelimo

Member
Jul 31, 2015
45
29
Nabaki na shangaa! Wagonjwa wa akili hupoteza uhusiano na uhalisia, Wanasikia sauti za watu ambao hawapo sehemu husika na wakati mwingine kuona vitu ambavyo wengine hawavioni. Wanakuwa na harakati ambazo huwa na namaana kwenye akili zao peke yao. Siwezi pinga kwamba niliishi na depression (sonana) hatarishi mwaka wa kwanza na wa pili chuoni. Siwezi pinga kwamba niliamua kuvunja ganda (shell) la kujitenga na Kuishi mpweke na kupambana na hali ile ya sonona mara baada ya kurejea Chimala baada ya kuona chanzo cha lifestyle ile ni kutoka kwa jamii na sio ndani yangu na masuala kutumiana na kukwamishana yanafanyika katika scale kubwa na sio kwangu peke yangu. Yale yote niliyokuwa nimeyabeba ndani nilipoyatoa na kutua mzigo yalitafsiriwa kama nina ugonjwa wa akili.
Nimesikia sauti nyingi sana ambazo siwezidhibitisha kwamba niza wahusika moja kwa moja, Lakini matendo wanayofanya au kusema moja kwamoja tunapokutana yalinifanya niamini kama sauti zile ni ufunuo kwangu ili niweze chukua tajadhari.

Ila kuna sauti tata sana ambayo ndio chanzo cha mimi kukacha uislam na kuwa mtu huru ambaye naamini siwezi kuishi huku mungu anaishi. Two sun can't co-exist.

Nikiwa nimefungwa kwenye nguzo kwa nyororo tena zimekazwa vyema kiasi cha kunitoa vidonda miguuni sehemu fulani huko lushoto, Nilisika sauti ikitoa onyo ikiniambia

"Umecheza sana hapo kwenye kiti cha enzi mahali ambapo hapachezewi. Kama ukiendelea na mchezo wako nitakupa adhabu mbaya sana"

Kwa heshima na taadhima zote nikajibu, "Mimi nimekuomba ufalme wa duniani tu na wala sijawahi kutamani mahali pako huku mbinguni. Umeahidi kutupa unaibu katika ardhi nami nimefanya jitihada za kujitakasa niwe bora katika asilimia zote. Niko tayari kukupa chochote ili niwe na amani yako.

Kutokana na hustle nilizopitia na uelewa wangu wa maandiko nilikuwa na picha hii juu ya mungu. Kwamba Mungu ndio dominant, Kisha Wanaume, Kisha Wanawake, Kisha watoto. Pia nilikuwa naamini kwamba mwenye uhuru kwenye mwili wa mwanaume ni Mungu pekee na Matwaghuti wanataka kukuza dominance yako kwa uwafanya wanaume wenzao kama wawafanyavyo wanawake. Kisha kuwatawala kwa kuwashikia aibu zao na taamaa hiyo ziada. Pia nilikuwa naamini kwamba Manabii wanakwenda katia jozi ya wawili wawili. Eidha walikutana mara chache au hawakukutana lakini waliishi katika nyakati au sehemu sinazokaribiana. Mmoja huweka msingi na Misimamo ya Mungu na mwingine hujakufafanua hekima ya misingi hiyo kwa kuiishi misingi na misimamo yake katika namna ambayo itaacha historia yenye kuvutia na kuleta ufalme wa mungu na maisha ya furaha kwa wanadamu.
Pia niliamini kwamba Ili mtu awe nabii wa mungu basi wakati fulani wa maisha yake mungu humtuma roho wake katika umbo la mwanaume na kumuingia nabii huyo kwa kumfanya na wanakuwa na agano ambalo ni kama la mwanaume na mwanamke wakati wa ndoa.

Lengo la tendo hilo ni kumtawadha ili aingie rasmi katika vita ya kushindana na wale wanaotafuta dominance na kuondoa nafasi ya Mungu na kuwafanya wanaume kama wanawake. Nilichokuwa na amini ni kwamba Mabepari pia ni Mabasha wakubwa na watu wanao jipachika katika vyeo vya juu vya dini na kuishi kama wafalme fulani hivi hapa duniani. Kwa hiyo manabii huwanyang'anya Mabeberu (Matwaghuti) mashoga wao na kuwapa maisha ya heshima.

Narudi kwenye mada
Nikamwambia niko tayari hata akitaka anaweza mtuma roho wake katika mfano wa mwanaume anibariki.

Unajua alichojibu

"Mimi njia yangu sio hiyo" Njia yangu ni hii. (akaniwekea ishara, nikahisi kama uume wangu unaguswa lakini sioni kitu, sema kama kamuwasho kwenye shingo ya kichwa cha uume).

Nichoka!!

Sauti ile ikabadilika kutoka sauti ya Mwanaume na kuwa sauti mwanamke. Nishangaa sana lakini sikubisha. Ikawa tunaongea zaidi ya wiki ishu mbalimbali na moja ya ombi lake la msingi ni kwamba tunapozungumza basi rai na matakwa yake nisiyapinge au kuyachukulia ki wepesi lakini atakuwa chini yangu maisha yote.

Ishu ikawa aibuke basi anitoe ugwadu. (Nilikuwa niko na zaidi ya Mwaka na miezi sijakutana na mwanamke). Bla bla zikawa nyingi na visa vya ajabu naviona kwenye kwenye akili yangu.

Ila kilichonitibua ni Swali hili hapa! "Nifanye nini ili niweze kukushinda". Jibu langu lilikuwa "Ushindi nakupa wote mama, ushindwe mwenyewe.

Chuki yangu dhidi yake ilianza pale ukatili ulipozidi, Mdogo wangu aliekuwa ananiangalia pale kwa witch doctor, Akawa na version nyingi, Mara mrefu, mara mdogo, mara anakuja na uso na michunusi kama ganda la fenesi. Hiyo siyo inshu kubwa, ila sasa ukatili wake ulikuwa ulikuwa haupimiki, Muda wote akitoka kwenye mizunguuko yake huja na mawe au bakora anachapa balaa, mgonjwa mwenzangu anapiga bakora balaa. Ukila msosi lazima utapike kwanza makohozi kama yote na sehemu iliyobaki tumbuni uugulie. Ukigoma kula bakora kama zote. Nikawa namuogopa mdogo wangu zaidi ya witch doctor mwenyewe.
Kilichikuwa kinanikera ni swali lake alilokuwa akiuliza "hapo si uko jehanman"
Hujakaa sawa unaulizwa "Hapo pia sipo"
Vioja sasa. Mlango umefungwa unashangaa bwana mdogo kaingia analala. Mara witch doctor baada ya siku nne au tatu anakuja katika hali tata. Sura ndio unaona huyu ni yule docta lakini tofauti kibao za hapa na pale. Pia funguo zake za makufuli mara kwenye kitambaa kilichochakaa na funguo chakavu. Mara aje yule mwenye funguo mpya tupu, mara aje yule anayekata makufuli kila siku ili nikaoge. Mara anakuja mwingine na gloves za zake akiwa amependeza kwenye masuruali ya bei kali. Mara aje yule mwenye kijaketi cheupe kisichofuliwa milele. Ishu ni kwamba hawaji wawili kwa wakati mmoja

Mama anaponitembelea, Mara utashangaa mwanya wake, Mara ni mwembamba na una kama kifizi katikati, Mara mpana kama size ya pengo, mara meno karibu na pengo yako kama gaucho.

Nikawa na mlaani Mungu na sibariki chake hata kimoja. Baada ya Muda nikatolewa sehemu ile. Hii ni match 2017 nikahamishiwa nyumbani. Ishu ikawa mshua sasa, mara atafute waganga wa kienyeji, mara wachungaji, mara matambiko. Lakini akawa ananifunga kama witch docta kwenye nguzu ukatitili ukawa sio kama ule wa kwa witch doctor. Ila akawa anatabia za kote tulikopotia. Lakini nikawa na pata msosi kwa wakati na wife akijisikia anakuja kulala na mimi mara moja moja

Sasa niko kitaa na saka hela, Nikishaa shiba najikuta naelea kwenye kwenye dimbwi la mawazo ambalo hunipelekea kuwa na furaha na kucheka peke yangu (sio kwenye public) Sibishani tena na madaktari na habari njema ni kwamba ni kwamba niko na Ki diploma changu cha Mental health. Ila muambieni Mungu wenu aachekumpanda mke wangu kichwani.
Kama ameamua kuibia ngono chumbani kwangu mawazo yake ya utawala aache huko huko
 
Ata na mm sijaelewa chochote kama ni chakula gani hiki maharage nyanya vitunguu ugali juice yn tafari
 
Mkuu mbona kama umekuja na hali ileile ya ukichaa jf?
Pole sana ila nakutia moyo kwa kuwa uu karibu na kupona.
Kupona kutakuwa ni kuishi kama wanadamu wengine wanayoishi hata kama nyuma ya macho yetu ungali ukiyapitia masaibu

Endelea kutiririka ila uwe makini maana sio vyema kufunua siri za vichaa/ulimwengu wa hisia wa vichaa!
 
sijailewa,,,
ila mkuu pole sana kwa yanayokukuta
Nakuombea kwa Mungu ,,Usikate tamaa lipo tumaini mbele yako,Sijui ni hali gani unapitia ila
kwa kupigwa kwake Yesu Kristo Tumepata kupona..Mungu akubariki..........
 
Asalaleeeeeee

Mkuu ulikua mbinguni, kwa mganga au milembe?

Huyo uliyemwomba akutoe ugwadu ni nani aisee?
haha hiyo story Yake nabaki nacheka Hadi Sasa hivi..

Anasema alisikia Sauti ya Mwanaume lakini ghafla ikawa ya kike Huku kwenye Uume kukiwa na Mpekecho daah
Ni ndefu sanan ila Ina furahisha nimesoma Yote na hapa narudia ili nijue mleta maada alikusudia Nini .

nime pitia thread Zake za Nyuma Ni kuwa Yupo Sawa TU .Naona Kuna ujumbe anaficha au kapenda kutuchekesha.
hahahahahaha
 
sijailewa,,,
ila mkuu pole sana kwa yanayokukuta
Nakuombea kwa Mungu ,,Usikate tamaa lipo tumaini mbele yako,Sijui ni hali gani unapitia ila
kwa kupigwa kwake Yesu Kristo Tumepata kupona..Mungu akubariki..........
Kwani, Anapitia Nini?
 
Mkuu mbona kama umekuja na hali ileile ya ukichaa jf?
Pole sana ila nakutia moyo kwa kuwa uu karibu na kupona.
Kupona kutakuwa ni kuishi kama wanadamu wengine wanayoishi hata kama nyuma ya macho yetu ungali ukiyapitia masaibu

Endelea kutiririka ila uwe makini maana sio vyema kufunua siri za vichaa/ulimwengu wa hisia wa vichaa!
Ok man, kuna tabia za kawaida, Neurotic behavior na Psychotic behavior. Tabia ya kawaida hutafsiriwa na jamii yako. Najua ukweli wangu, najua ukweli wenu. Nahakikisha kwamba tabia yangu inabadikika kulingana na Mazingira, wakati na Na nina deal na nani. So bye bye Mental wards. Sehemu ambayo ningetakiwa ni kosea vigisufigusi zenu nitanyuti halafu baadae peke yangu nitashangaa dunia hii na hiyo na hapo tabasamu huitawala ofisi yangu.
 
Ok man, kuna tabia za kawaida, Neurotic behavior na Psychotic behavior. Tabia ya kawaida hutafsiriwa na jamii yako. Najua ukweli wangu, najua ukweli wenu. Nahakikisha kwamba tabia yangu inabadikika kulingana na Mazingira, wakati na Na nina deal na nani. So bye bye Mental wards. Sehemu ambayo ningetakiwa ni kosea vigisufigusi zenu nitanyuti halafu baadae peke yangu nitashangaa dunia hii na hiyo na hapo tabasamu huitawala ofisi yangu.
Kwani, kiongoz una tatizo LOLOTE la Ufahamu?

Kama Ni kweli
NAWEZA KUKUSAIDIA BURE KABISAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom