Mafanikio ni pamoja na kuwanikiwa na mwanamke/Wanawake

Ashelimo

Member
Jul 31, 2015
50
125
Sahau kuhusu mke mwema, mzuri, atakaye kuwa nawe wakati wa raha na wakati wa shida. Mwanamke mpenda dini, mwanamke ambaye anakupenda wewe kama wewe na sio mali na mazingira yanayokuzunguuka. Sahau hilo
Itaishia tu ingewezekama ningekuwa wako/ Ingewezekani ungekuwa wangu ila blab bla bla
Hapa na zungumzia wale wenzangu wapenda dini, Kama nilivyokuwa mimi, Wale wapenda kufuata taratibu zilizowekwa na mababu, taratibu zilizowekwa na manabii na watu wa dini. Napenda kuwatahadharisha pia wale ambao hujifunza mapenzi kupitia tamthilia za akina angelo kwamba wasahau kuhusu furaha ya mapenzi. Wataishia kupata raha ya mapenzi na wasiporidhika na hicho wakipatacho watapata jaka na kiriba cha moyo.
Watu wanazijua dini, Na wao walizipenda ili waishi maisha murua na wakajitahidi kuzijua dini ili wamche bwana kwa maarifa makubwa. Ndoto zao za utotoni zikakumbana na maisha halisi. Uhalisi ukawatupa mbali na wakajikuta Imani zao ndio chanzo cha kujizuia kufurahia maisha na kuwafanya manyang’au kupata nafasi ya kuwatumia na kisha kuwaacha (Huwezi mlaghai mtu muongo na anayeficha utambulisho wake, kitu ambacho washika dini wako tofauti na hao). Kama unatafuta mhanga wa mipango yako tafuta mtu aliyeshika dini, adopt mazingira yake (akuone kwamba nawe ni mwenzie) Pendekeza mipango yako kwa kuonesha kuwa ni kwa Imani nzuri. Nzuri kisha akisi jumbe mchanganyiko na jiweke kwenye nafasi yawewe kuwa mhanga asiye na hatia mfanye ajihisi kutoka ndani kwamba yeye ndio suluhisho na taratibu zinaweza kupelekea kukawia na kuzidi kukuweka kwenye hali mbaya Zaidi. Hapo utamfanya asione ugumu kufanya utakavyo hata kama vinapingana na utashi kwa sababu tu hali hiyo imejengwa juu ya” kwa Imani nzuri” “Juu ya upendo” na ”juu ya huruma”

Nirudi kwenye Mada. Kame umempenda mwanamke na unamalengo naye inabidi uingie ndani ya nafsi yake. Onyesha nia kwamba unampenda na fanya juu chini ulale naye, Kwa gharama yoyote na hapo utakuwa umengia ndani ya duara lake, Kisha kuwa logical na rational juu yake kwamba upo kwa ajili ya kubakia na inabidi aache utoto kwa sababu uhusiano unamhitaji yeye kama mdau na inabidi ashiriki kuujenga.
Mwanamke hata akiwa ni mchumba wako huwezi kumtawala sawa na mwanaume ambaye wamesha lala wote tena katika mazingira ya urafiki na maridhiano
Utaonekana bonge la mshamba kuonyesha wivu kwa mwanamke ambaye unampenda lakini hujalala naye na inaishia ingewezekana ila tatizo kasha wahihi
Huu uboya wa kutofanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa kubwa kwa mwanaume. Wewe binti umemjua akiwa mtu mzima, anajua kuoga, kujiremba na kuvaa. Ikatokea akakuelewa muwe wote maishani na wewe unapanga hakuna mapenzi kabla ya ndoa, kumbe mwenzio alishagaanza mapenzi zamani na wewe najiwekea umbali naye, Itamlazimu aendelee na mpenzi wake japo hapendi hadi siku ya ndoa. Hii tapelekea mume mwenza kukudharau na kukuona boya.
Inatakiwa binti akipata mchumba basi washikaji wake wa mwanzo wajue kwamba amependa bei na hawawezi kufika na wanabaki na ingewezekana
Kwa hiyo hakikisha unaingia duara lake, Kisha mueleze upo kwa ajili ya kubaki, mueleze pia inabidi awe mdau katika kujenga uhusiano, na ukiona mambo sio opoa onyesha wivu uliopagiliwa (epuka gubu, utatoswa hata kama ushaa lamba) ili kumzingua yeye au wale wanaommendea. Kimtindo ijulikane kwamba uko nae na hatakagi mambo ya kijinga na chombo yako.
Halafu acha ubwege wa kiboya. Mwanaume lazima ugharamie, japo lazima uwe na wajibu wa kumsimamia juu ya matumizi ya hela unayompa, kama hela ya saluni basi akirudi uone nywele imebadilika, Kama bili ya umeme basi ukute umeme unawake.
Kwa staili hii hata uchumba wa wanaokaribia ndoa unavunjika na unaondoka na chombo
Nguvu na juhudi za kuanzisha mahusiano ni zako, Mtoto wa kiume, Lakini kuujenga ni jukumu la wote
Zile baby naomba hele inabidi uzikate kwa kumpa mtaji na kuhakikisha anakua katika fani yake au kazi aipendayo.
Baadae unavuta chombo ndani, waambi waje na mashehe na Mapadri leo unaoa.
Kama kwa bahati ukadondokea kwa dada poa na akapuuza suala la kujenga malengo achia wenzio wale hatakubabaisha sababu ushaa kula share yako
Wanawake wazuri wapo kila siku na kila mahali. Chamsingi chukua copy yako ndani na furahia maisha.
Mirupo sio dili. Baki njia kuu.
UTAKUWA UMESHAFANIKIWA NA MWANAMKE/ WANAWAKE.
Bila mafanikio mafanikio na mwanamke/ wanawake huwezi sema umefanikiwa kwani utakuwa na upungufu wa furaha maishani.

I use my pen to reform current generation. Read, understand and use you pen to be part of this reformation.
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,131
2,000
Usiishi kwa ajili ya kuwa impress wanawake utafeli.

Women are not essentials, they are just an extra.

That's y God created Adam and gave him Eden plus Eve as an extra
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom