Nilikuwa na bishana na madaktari mwanzo mwisho. Na siku nyingine na goma kuhojiwa kwa sababu nilikuwa sitaki kubishana na wapumbavu. Ishu ninazoongea ni simple hazihitaji hata tuition kuelewa.
Sehemu tata ambayo sasa ni megundua nilikuwa nazingua ni kumuweka mungu kama master mind kwenye apocalyptic movement zangu.
Watu wanakuja watu wanaondoka man himself bado nabaki wodini. Nawapiga msasa vijana wanaoletwa jinsi ya kujibu wakati wanahojiwa ili wasikae sana ndani na kweli wanafanikiwa wanatoka.
Vitu vichache ambavyo niliandika wakati huo pindi ninapotoroka na nikakutana na PC yangu au ninaporuhusiwa kuishi mtaani chini ya uangalizi wa familia ni kama hivi hapa (fungua attachment)
Nimesota sana mzee, Nikaa uraini kama miezi miwili naona uboya naanza mbio zangu upya mara kamata huyo rudisha Muhimbili
I was fighting for this dam thing