Search results

  1. chokambayaa

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe
  2. chokambayaa

    Ku unlock radio ya gari

    Naomba mwenye cd ya ku unlock radio ya gari aina ya eclipse DVD/CD/AV/NAVI SYSTEM UCNV884mk II. Imelock baada ya kubadili betri ya gari hivyo inahitaji cd hiyo kwa ajili ya kuifungua nawasilisha
  3. chokambayaa

    Ofisi ya tecno

    Habarini za jioni wanafamilia ya JF, naombeni kufahamishwa kwa anayejua ofisi za tecno hapa Dar zinapatikana wapi
  4. chokambayaa

    Wapi nitaweza kununua Sony experia z2 kwa bajeti ya 750k ?

    Jaman kwema? nina 750k natafuta sony experia z2 mwenye nayo au duka ujualo naweza pata kwa hiyo bei karibu
  5. chokambayaa

    apps ya liturugia

    Waungwana habarini ya jumapili Kwa wale waluteri natafuta apps ya liturugia na zile nyimbo za tumwimbe bwana kitabu kipya.natanguliza shukrani
  6. chokambayaa

    Smartphone

    Habarini wana jamvi Nataka kuja Dar miongoni mwa mambo yanayonileta huko ni kununua smartphone original yenye Memory ya GB 8 na kuendelea OS iwe android 4.1 version camera 8pixes Fedha nliyonayo shs 400,000 haizid hapo sasa nnachowaomba munielekeze duka la smartphone original lakini bei nzuri...
  7. chokambayaa

    Ziara za Viongozi

    Jamani wadau, Natumaini mko poa Embu nisaidieni kwa hili jambo. Wengi tunajua viongozi wetu wa serilaki hupenda kwenda katika Mikoa na wilaya kwa ajili ya kuwatembelea wananchi wao na kukagua miradi mbalimbali Tatizo langu mimi huwa najiuliza hivi Rais, Waziri Mkuu, mawaziri n.k huwa hawana...
  8. chokambayaa

    Upungufu wa damu

    Aslam aleykum ma dokta wote wa humu ndani! naomben ushauri wenu mke wangu amepata tatizo mwili hauna nguvu na anakuwa mchovu sana kapimwa na imeonekana damu imepungua ipo ml 8. Nn kinasababisha damu kupungua? Hosp. Gani naweza kupata matibabu ya kujua chanzo? Nn afanye damu iongezeke kwa...
  9. chokambayaa

    R. I. P. Steina Smith Mrema

    Mtanzania mwenzetu, ndugu yetu, rafiki yetu na jamaa yetu alifarika huko marekani anategemewa kusafirishwa kesho kutokea Marekani na hatimaye kupunzishwa huko nyumbani kwao Moshi kijiji cha Mbokomu siku ya Alhamisi (05/01/2012). Sisi tulimpenda ila MUNGU alimpenda zaidi mungu ailaze peponi...
  10. chokambayaa

    Gossips; Stand ya Miyomboni Iringa

    Kuna jamaa angu anaishi Iringa eti kanambia kuna fununua ya kuwa Mtoto wa Jeikei kanunua stand ya miomboni ya vidaladala na anajiandaa kuzuia kuoakia abiria ili ajenge ghorofa hapo Is it true? Jamaa zangu wa Ir kama mna info Mtujuze....
  11. chokambayaa

    Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

    Ninajamaa angu anaishangaza sana, akiwa na kideti na demu huwa anavaa shanga zile za kimasai na moja ya cheni kiunoni, nikamuuliza anavaa ili iweje Nanukuu “''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga ataenda kumpa story shost wake naye atajilengesha aje kujionea naye unammega”'' Mwisho wa kunukuu Ni...
  12. chokambayaa

    Kwanini sisi wakulima tunateseka ivi?

    Mimi mwananchi wa kawaida kabisa ninayeishi kijijini Tatizo kubwa tulionalo ni umasikini tunaoishi nao Tunategemea kilimo sana (kilimo ndio uti wa mgongo) I use to hear… Lakini ki ukweli tunataka kuacha kulima kwa sababu tumedharauliwa na kusahauliwa kabisa Tumeshindwa kuacha kulima kwa...
  13. chokambayaa

    Kilimanjaro stars

    Jamani nimeiona stars ikicheza na zambia kwa kweli ilinisikitisha kwa kutokuwa na mpango mzuri wa mashambulizi Kwa sasa naiangalia ikicheza na timu dhaifu ya Somali matatizo ni yale yale tunakosa sana magoli ya wazi forward yetu haiko makini yaani butu kweli kweli hivi tumekuwaje?? Mbona...
  14. chokambayaa

    Changudoa!!

    Hivi ni kwanini wanaume kibao wanapenda machanguodoa kuna nini huko jamani na UKIMWI huu!!!!
  15. chokambayaa

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Yaani kwa mtazamo wangu 90% ya waheshimiwa wanapigania kuingia bungeni kwa minajili ya kujipatia/kuboresha maisha yao binafsi, hawana nia ya dhati kulikomboa taifa letu na umasikini uliokithiri Mfano leo sheria ikipitishwa kupunguza posho/maslahi ya waheshimiwa hao (m. 12 per month)...
  16. chokambayaa

    Elections 2010 CONFIRMED: CCM yalitetea jimbo la Babati mjini

    CCM wamejikongoja wamemaintain jimbo la babati mjini CCM: 13506 CHADEMA: 9899
  17. chokambayaa

    Elections 2010 CONFIRMED: Ndesamburo ashinda Moshi mjini

    Ndesamburo wa CHADEMA kapeta kwa kura 28,997 anayefuatia Chadema inatisha Mkubwa!!
  18. chokambayaa

    Elections 2010 Bunge la kipindi hiki litatisha!!....

    Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje Kichwa kama Tindu Lisu Freman Mbowe Halma Mdee Myika Thomas Nyimbo Lema na babu mrema na vingine kibao.... Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!
  19. chokambayaa

    Elections 2010 Jamani tupeni mambo ya mchinga

    Huko jimboni mchinga vipi jamani walioko ktk groud please tujuzeni
Back
Top Bottom