Gossips; Stand ya Miyomboni Iringa

Gossips; Stand ya Miyomboni Iringa

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
546
Reaction score
69
Kuna jamaa angu anaishi Iringa eti kanambia kuna fununua
ya kuwa Mtoto wa Jeikei kanunua stand ya miomboni
ya vidaladala na anajiandaa kuzuia kuoakia abiria ili
ajenge ghorofa hapo

Is it true? Jamaa zangu wa Ir kama mna info Mtujuze....
 
Back
Top Bottom