chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 548
- 74
Habarini wana jamvi
Nataka kuja Dar miongoni mwa mambo
yanayonileta huko ni kununua smartphone
original yenye Memory ya GB 8 na kuendelea
OS iwe android 4.1 version
camera 8pixes
Fedha nliyonayo shs 400,000 haizid hapo
sasa nnachowaomba munielekeze duka la smartphone original lakini bei nzuri
ili na mimi nijimwae mwae na habari za ulimwengu katika kiganja changu
Nawasilisha