Search results

  1. Profesa

    Bia ya Reds ndani ya chupa ya Safari

    TBL Batch yenu ya tarehe 21 September, 2017 kwenye saa 4.13 hivi ina bia yenye ladha ya Apple nhisi ni Reds. Mnatuharibia kwakweli, hii ni bia ya Tatu wiki hii naikuta. Kakagueni niko Mbezi Beach hizi bia na fanyeni uchunguzi.
  2. Profesa

    AZAM Media jirekebisheni, Habari zenu Zinaboa

    Azam media imekuwa ikisifika kama chombo kilichoiubuka kikiwa na taarifa zenye hadhi, ubora, weledi na zisizokuwa na mrengo wowote. Siku za hivi karibuni tunashuhudia wakianza kuwa na tabia kama ya tabloids au Udaku. Inachefua sana, vichwa vya habari nusunusu viliyokaa kichochezi na...
  3. Profesa

    NIlichojifunza: Serikali Vs Upinzani na Media

    Serikali ina utajiri wa technical team, aidha wanaamini katika chama tawala au hawaamini, lakini wako ndani ya serikali ya Chama cha Mapinduzi. Wote hawa wako busy wakifanya makuu, huku wakiwa na mda mchache sana wakuelezea makubwa na mafanikio waliyoyafikia. Serikali hii inafanya na imefanya...
  4. Profesa

    Kinachoendelea kati ya Gwajima na Makonda sio afya kwa maendeleo ya nchi

    Kinachoendelea naweza kukifananisha mechi ya Simba na Yanga au Mabingwa wawili wa NGumi. Huku wananchi wakipambana kuweka dau nani zaidi, na wengine wakikaa kimya kama washabiki wa Arsenal wakisubiri siku ya kushinda ndio washangilie lakini siku nyingine wanawaachia washabiki wa Man U...
  5. Profesa

    Busara Itumike Kutatua Mgomo wa Usafiri wa Abiria na Malori

    Narejea kauli ya Serikali kupitia Mh Samwel Sitta jama katika vyombe vya habari. Pamoja na kwamba jambo hili limeiudhi serikali, hasa hasa ukizingatia kipindi hiki tete ambapo kuna maswala mengi tu ya kitaifa yanaathirika na Mgomo huu, ni vema serikali ikalitafakari na kulichukulia swala hili...
  6. Profesa

    Mayai ya Mende ndani ya Precision Air...

    Picha hizi zimetumwa kwa fb na rafiki yangu aliyekuwa akisafiri hivi punde na PW naamini ndiye aliyeshuhudia mwenye taarifa zaidi atujuze.
  7. Profesa

    Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 Bar na Harusi Marufuku, Kuripoti lazima Serikali za Mitaa na Madaraka!

    Mambo muhimu yaliyomo: Ulinzi wa mtoto: 17.-(1) Mtu ambaye ni mmiliki au anaendesha au ni msimamizi wa ukumbi wa muziki, baa au klabu ya usiku, hatamruhusu mtoto kuingia katika maeneo hayo. (2) Mtu hatamuuzia mtoto sigara, pombe, pombe kali, madawa ya kulevya au kitu chochote kinacholewesha...
  8. Profesa

    Sambusa za Mbezi Makonde Kanisa la Siloam kiboko

    Dah mida hii saa 5 usiku kwa wale wa usiku zinakuwa tayari mpaka asubuhi. Hizi sambusa sijawahi kuona na mpishi sio mbahiri wa nyama ni tamu hakuna mfano. Sio biashara ni maoni yangu kama mteja kwa wapenzi wa sambusa.
  9. Profesa

    JamiiForums itadumu tukiiwezesha!

    Wito kwa watu wote mnochangia hoja Jukwaa la Siasa, ambalo nadhani linaongoza humu kwa waliojisajili JF kama open identity au kwa jina la siri, tafadhali usiache kuchangia walau kiasi fulani, nadhani Maxence Melo, na Invisible, Mike McKee wanakubaliana nami kuwa ni muhimu kama tunataka Jukwaa...
  10. Profesa

    Kiongozi wa KANISA LA Pool of Siloam Aliyefariki nini kilichojiri tumesikia mengi

    wadau naomba mtujuze... nimesikia eti kulikuwa na ishara ya jua na picha nimetumiwa kwa walioshuhudia kuwa jua lilitoa ishara na mambo mengine... Mode usipeleke hii kwenye dini maana kaanisa hili na mengine yana ushawishi mkubwa sana kwa watu wetu wengi hapa nchini... Waliokuwepo mtujuze tafadhali
  11. Profesa

    Ajali: Fuso na 'Kosta' yamegongana uso kwa uso maene Mlandizi Pwani

    Nikiwa njiani kuelekea shamba maeneo ya Kongowe nimekutana na ajali hii mbaya ndio kwanza ilikuwa imetokea na dereva wa basi alikuwa amenasa ndani... kwakuwa nilikuwa napita sikuwa na taarifa zaidi. Umakini unahitajika zaidi na woga katika barabara ni faida... mwenye details anaweza kushare na sisi
  12. Profesa

    Prof Peter Piot Belgian expert: WHO messed up Ebola response

    Futatilia hapa kwa Kiingereza usome critique yake juu ya hali ilivyo na dome scientific and inovetive ways za kuutibu: BBC World News - HARDtalk, 'Vital to bring Ebola under control' to stop its spread...
  13. Profesa

    Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    Ndugu wana jf... Kilichosomwa bungeni tayari kwa kujadiliwa na bunge kabla ya kupigiwa kura hiki hapa....
  14. Profesa

    African medicine knowledge from africa: Brain sugery

    I have just been moved by this, and hope to read books on the practice of indigenous medicine in African context, cause we have every chance of building on our indigenous medical industry just like Asia and South America. See for your self, a bit graphic so a bit of warning:
  15. Profesa

    Tunatafuta Rais (Good President)

    INTRO Young Ancients Arise! Your Country Needs You, Here comes another One! GOOD PRESIDENT we need. Oboyyyy VERSE 1 My distinguish candidates have a sit please keep away your difference and come together Let's evaluate and then we can carefully elaborate, See the country really needs a GOOD...
  16. Profesa

    Ndege zazuiwa kutua dar hali ya hewa mbaya

    Ni Jana tu Mkuu wa kitengo hiki alikana taarifa zilizoenea kwenye Social Media. Leo hii Ndege mpaka tunavyoongea zimezuiliwa na kuwa diverted kwenda Zanzibar na KIA kutokana na hali ya hewa Dar kuwa mbaya. Kwa macho yangu 'mimi nisie mtaalamu' naona upepo mwingi sana na mawingu mazito ya kutisha...
  17. Profesa

    Zanzibar na Pemba kufanya maandamano kesho kutwa

    Nimepata taarifa kutoka chanzo cha uhakika ila habari ni za kuthibitisha kutokana na iwapo kibali kimetoka. Maandamano makubwa yanaandaliwa aliyepo hiko atupe updates na kututhibitishia.
  18. Profesa

    Uchokochoko unaweza kuleta mafanikio Hati ya Muungano hatimaye hadharani

    Siwezi kuelewa, swala nyeti kama hili liliwafanya wenye dhamana ya uongozi wameweka hii kama siri hadi Mh. Tundu Lissu alipoweka kaa lamoto ndio wakaona yaishe? Mimi ni CCM damu ila hongera Mh Tundu Lissu bila wewe hata mimi nisingeiona sembuse Mwanasheria mkuu wa Zanzibar? Tuijadili sasa...
  19. Profesa

    Uchumi Kuathiriwa na Mafuriko maana yake nini?

    Achilia mbali uharibifu wa mali na miundombinu, ila yafuatayo yanaweza kutokea iwapo hatua za haraka hazitazaa matunda: 1. Njaa, Mkoa wa dar es salaam unalishwa na mikoa jirani kwa kiasi kikubwa na kila siku kuna tani kwa maelfu ya chakula zinakuja kila siku na kutumika. 2. Mikoani hawatapata...
Back
Top Bottom