Ndege zazuiwa kutua dar hali ya hewa mbaya

Ndege zazuiwa kutua dar hali ya hewa mbaya

Status
Not open for further replies.

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
903
Reaction score
629
Ni Jana tu Mkuu wa kitengo hiki alikana taarifa zilizoenea kwenye Social Media. Leo hii Ndege mpaka tunavyoongea zimezuiliwa na kuwa diverted kwenda Zanzibar na KIA kutokana na hali ya hewa Dar kuwa mbaya. Kwa macho yangu 'mimi nisie mtaalamu' naona upepo mwingi sana na mawingu mazito ya kutisha sijui niamini kipi.

===================

JamiiForums imefuatilia na kubaini kuwa;

Ndege zilikwama kwa masaa mawili toka saa tano (5) asubuhi hadi saa sita (6) Mchana - tokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Kwa sasa hali imerudi kawaida na safari za ndege zimerudi kama kawaida.
 
Maprofesa tulionao hawana msaada kabisa kama mtoa habari anayeleta habari za uongo, bora ya mimi Bepari.
 
Ndio hapo sasa mimi mwenyewe niko angani hapa nakaribia kutua hapo kwa nyerere

Loooh, ya leo kali!! Unaperuzi JF kwenye ndege wakati ikijiandaa kutua, si wanakataza! Kwa ujumla ndege zinaendelea kutua hapo Julius Kambarage, nimeongea na mtu wangu wa karibu ambaye ni fundi.
 
Loooh, ya leo kali!! Unaperuzi JF kwenye ndege wakati ikijiandaa kutua, si wanakataza! Kwa ujumla ndege zinaendelea kutua hapo Julius Kambarage, nimeongea na mtu wangu wa karibu ambaye ni fundi.

Najua kuna watu watabisha sijapanda fastjet mama mdogo niko kwenye kitu Emirates, full kuperuzi tena faster kitu kama LTE
 
Sijui "Profesa" gani muongo muongo hivyo, mi nipo airport hapa ndege zinatua kama kawaida!

Embu nisaidieni hivi ni kwa nini maprofesa wengi wanaume hawapendi kukata nywele wana kuwa kama donking?
 
khaaa mi niko eneo la kipawa hapa ndo tunatua mbona hakuna halim baya ya hewa..hali hii ni shirikishi yaani natua tu moja kwa moja kwa honeymoon wangu Zubeda..dadadekiiiii
 
Ni Jana tu Mkuu wa kitengo hiki alikana taarifa zilizoenea kwenye Social Media. Leo hii Ndege mpaka tunavyoongea zimezuiliwa na kuwa diverted kwenda Zanzibar na KIA kutokana na hali ya hewa Dar kuwa mbaya. Kwa macho yangu 'mimi nisie mtaalamu' naona upepo mwingi sana na mawingu mazito ya kutisha sijui niamini kipi.

===================

JamiiForums imefuatilia na kubaini kuwa;

Ndege zilikwama kwa masaa mawili toka saa tano (5) asubuhi hadi saa sita (6) Mchana - tokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Kwa sasa hali imerudi kawaida na safari za ndege zimerudi kama kawaida.

Asante Moderator, Niombe radhi ujumbe huu umeweza kujituma kwenye page very late kutokana na tatizo la netowrk ambalo sikuwa nalo aware. Ila nadhani wote mliokebehi hapo mnaweza kuona ujumbe wa moderator hapo juu. Kwa nyinyi mnaokebehi, acheni upuuzi huo, kama huna hoja humu iache kama ilivyo Moderator ataishughulikia, Hili jukwaa lina heshima yake nendeni kule chit-chat! humu tunaongea vitu na evidence. Poleni kwa wale waliopata usumbufu kwa ujumbe huu kuchelewa.

cc: Bigbro, mzee wa busara, Arushaone, Noriega Jr, Capitalist M, Bujibuji, LiverpoolFC, Chris Lukosi,
user-online.png
Kavu,
Mshomba, Mwananchi,
lyinga, Invisible; Maxence Melo;
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom