Search results

  1. C

    Music Recording Studio

    Nafikiria kuanzisha Music recording Studio, wataalamu nisaidieni nahitaji kuwa na vitu/equipments gani kufanikisha hili? Na naweza vipata wapi Dar es salaam hii?
  2. C

    Natafuta tiba

    Jamani Ka-uncle kangu kanasumbuliwa na ugonjwa ambao mpaka sasa haujajulikana mahospitali, vituo vya maombi tumemaliza, nashawishika kuhamia tiba mbadala za asili na jadi.Mwenye kujua mganga yeyote mwenye uwezo mkubwa kutibu matatizo mbalimbali tafadhali msaada.Hata hivyo sijapoteza imani ya...
  3. C

    Need a parttime accountant in Morogoro?

    In case you are in need for a part time accountant, here i am. I am employed already and would like to utilize my full capacity. I am a DBA,an ADA,PGDBA-Finance holder, with 4yrs of experience in the field of accountancy & finance. For any enquiry call 0765829257
  4. C

    Pls,naomba kujua yupi tuition provider mzuri wa Module E & F CPA(T) DAR

    Somo tajwa hapo juu lajieleza, nataka nijiandae kwa sitting ya May 2013.
  5. C

    Nahitaji mashine za kujikaushia bafuni

    Sizijui jina kitaalam ila nliona moja ineandikwa BLOSSOM sjajua ni jina la kampuni zalishi ama ni jina la mashine, but zinatoa hewa moto,na ni nzuri kujikausha baada ya kuoga.Ni kama hand driers lakini zenyewe ni za bafuni.
  6. C

    Cpa review classes-morogoro

    Wadau nauliza kama kuna review classes za CPA hapa Morogoro,nijiweke.Mwenye kujua anijuze
  7. C

    Natafuta transporter Morogoro

    Wadau natafuta transporter anayeweza kufanya kazi ya kuhamisha staff toka Zanzibar kuja Moro, na kutoka Iringa kuja Moro. Sharti transporter awe na ofisi Morogoro. Mwenye lolote ani-PM tafadhali ama aseme hapahapa na anipe mawasiliano yake.
  8. C

    Nyumba ya kupanga Morogoro

    Waungwana nahitaji nyumba ya kupanga Moro mitaa ya Kola,msamvu ama Mjini kati.arimradi iwe na uzio.Hata chumba na sebule sawa.Na kama kuna ambayo ni full furnished ni nzuri zaidi
  9. C

    Mafuta ya ubuyu

    Endeleeni kupata mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu ya tsh 30,000 kwa lita toka Rose Group.Sasa yanapatikana Morogoro pia.Kwa walio nje ya Morogoro na Dodoma tunaweza watumia hukohuko waliko baada ya malipo ya gharama yote ya mafuta na gharama za kutuma purcel mpaka point of destination kwa M-Pesa...
  10. C

    Chumba self with tiles - morogoro town

    Nahitaji chumba kimoja self contained chenye tiles, ambacho kiko ndani ya gate mjini Morogoro,tafadhali kama huwezi sema hapa,basi nipigie 0765829257
  11. C

    Moja ya picha za kilichofanyika masasi na chadema

    Hawa ndio Nape anawaita oil chafu, nina hamu ya kuona Kama CCM mlipata hata mmoja Makambaku juzi.Hapo Raia wakisukumana kununua kadi za CHADEMA juzi pale Masasi
  12. C

    Sjui naumwa nini

    Wadau tangu jana naskia kende langu la kushoto linamaumivu,nikisimama maumivu makali,nikijinyoosha pia naskia maumivu ghafla then linaacha,ni kama vile linataka ingia ndani.Ni ugonjwa gani huu? umesababishwa na nini? na nini tiba yake ya dharula kabla sjaenda hospitali.Nisaidieni jamani
  13. C

    Event planners & organisers

    I am looking for Event planner and organiser Companies that does the following items;(Dar & Morogoro) Provide an "MC" (Master or Mistress of Ceremony) who can guide the participants through some of the main activities in the event. 3. Procure and/or arrange for and set up all equipment and...
  14. C

    Wananchi tutangaze vita dhidi ya police

    coz hawana utu kwetu,hawana uzalendo kwa taifa,hawana huruma na raia.Hatuna silaha za moto kupambana nao,tutumie Mikuki,mishale,mawe kila tumwonapo akiwa peke yake na kukimbia hadi watakaposhiks adab
  15. C

    Machali anavyomchana Kafulila

    Sina hakika na authentisity ya nyaraka hizi,lakini haya ndiyo machali anayoyafichua huku Mwanza,kama ni kweli daaa kafulila hakuwa amejipanga
  16. C

    Israel has no right to disparage any nation

    Thursday, 05 January 2012 Mobhare Matinyi WITH AN EAGLE’S EYE The recent remarks by the Israeli Defence Minister, Ehud Barak, which implied that the United Republic of Tanzania is irrelevant to Israel, deserve the strongest condemnation from everyone that respects the integrity of a...
  17. C

    Mafuta ya ubuyu

    Ninauza mafuta ya ubuyu,mwenye kuhitaji tuonane hapa 0787891477
  18. C

    Biashara ya mafuta ya ubuyu

    Jamani nauza mafuta ya ubuyu, mwenye kuhitaji au ajuaye soko lake mahali lilipo awasiliane nami ktk 0787891477. Matumizi na faida ya mafuta ya ubuyu zinafahamika,hasa kwa wenye HIV na inatibu kabisa kisukari na kupooza
  19. C

    Mbunge Shibuda wa Chadema amerudi CCM?

    amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni kadas wa ccm na kikwete amekuja dom kwa vikao vya kichama
  20. C

    Natafuta vyumba viwili na sebure

    Wadau natafuta vyumba viwili na sebule vya kuishi mitaa ya kinondoni Ada estate,manyanya,biafra.Mwenye kujua vinapatikana please anipe namba yake ya sim hapa
Back
Top Bottom