Nahitaji mashine za kujikaushia bafuni

Nahitaji mashine za kujikaushia bafuni

chigwiye

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
352
Reaction score
59
Sizijui jina kitaalam ila nliona moja ineandikwa BLOSSOM sjajua ni jina la kampuni zalishi ama ni jina la mashine, but zinatoa hewa moto,na ni nzuri kujikausha baada ya kuoga.Ni kama hand driers lakini zenyewe ni za bafuni.
 
Jinsia yako please?
Kama ni "SHE" naweza kuifanya hiyo kazi mimi?
 
Sizijui jina kitaalam ila nliona moja ineandikwa BLOSSOM sjajua ni jina la kampuni zalishi ama ni jina la mashine, but zinatoa hewa moto,na ni nzuri kujikausha baada ya kuoga.Ni kama hand driers lakini zenyewe ni za bafuni.

Unataka piece ngapi?
 
nenda pale mwanza golden crest hotel kwenye maonyesho ya siria wanauza mashine za kukaushia
 
Sasa ukizipata si utahitaji na training namna ya kuzitumia maana unaonekana huzijui vizuri hahahaha
 
Nami naihitaji hiyo huduma tafadhali.

Ok, tutafutane,
Tena mrembo kama wewe nitakukausha hayo maji sio kwa taulo wala BLOSSOM aliyoizungumzia huyu jamaa, bali kwa ULIMI!!!!!!!!!
 
Kweli watu wanatofautiana! Sisi tunalalamika umeme bei juu, wengine wanaongeza matumizi ya umeme?
 
Mie natumia taulo...Sasa nashangaa kusikia kuna mashine siku hizi...Mie najua kuna za mikono tu...kumbe hadi za mwili nazo zipo.
dunia imebadilika technologia ipo juu sasa hivi unaweza kupika hata ugali bila kuchemsha maji na ukaiva fresh
 
Kuna mashine za kujikaushia bafuni siku hizi? Duh!!! Hii kali.

mkuu zipo sana, kuna hadi taa kwa ajili ya kukausha nguo na mwili, zaidi siku hizi kuna hadi mayai ya unga.
 
Back
Top Bottom