Machali anavyomchana Kafulila

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
Sina hakika na authentisity ya nyaraka hizi,lakini haya ndiyo machali anayoyafichua huku Mwanza,kama ni kweli daaa kafulila hakuwa amejipanga
 

Attachments

  • NCCR 8.jpg
    NCCR 8.jpg
    7.5 KB · Views: 528
Njaa mbaya wakuu,mikwara kibao halafu anapeleka vikaratasi vya kuomba msamaha,tena anamwita kijana mwenziwe BABA.
 
Nilimwangalia Machali na mwenzake Danda jana asubuhi StarTv. Siasa zinatupeleka kubaya kama hivyo ndivyo tutakavyoendelea kuvuana nguo hadharani.
 
Nashindwa kuelewa priority ya baadhi ya wabunge wetu....chama kimeshachukua maamuzi ya kumfukuza...kinachowapitisha huko Kigoma na suala hilo hilo ni nini?? Kwanini hawakupita kabla ya kuchukua maamuzi ili na wananchi wake washirikishwe kujua kiongozi wao alivyokuwa kansa na waamue?? Hofu ya nini,kama kutakuwepo na uchaguzi, wananchi ndo wataamua. Fanyeni kazi bwana,mmeanza mwaka na Kafulila mnatumia kodi zetu kwa mambo yasiyo ya manufaa kwetu.
 
Wanasiasa bana....! Wapo kama watoto lakini cheki ndo wanapata marurupu kibao na eti ndo viongozi wetu. Oh no, this has to change.
 
sina uhakika kama kafulila kafulia ila nachodhani NCCR hawakutakiwa kukata kijanja baada ya kuona dogo kaharibu kama kijana wao wlitakiwa wamweke chini wamfunde na wampe second chance na muda wakumsoma nyenendo zake ma sidhan kama kafulila kwa hali aliyokuwa nayo siku ile angepata msamaha angeleta vurugu ma najua angelikuwa mtoto mzuri sana lakini kilichofanyika ni kama kukomoa acha tumkomeshe kwanza inaonyesha udhaifu mkubwa sana mi sijaipenda sana na nadhani sitaipenda mana me ni muumini wa second chance kwa wanaokosea na kuomba msamaha na kukiri kosa kama kafulila.
 
Hivi sasa we machali inamana wewe unapinga hoja za kafulila kuhusu mbatia? Kwani nani asojua mbatia ni kibaraka wa ccm hasa kwa hoja zake ambazo zilikuwa zikizoofisha upinzani.
 
Namfahamu Kafulila,namfahamu,ananifahamu,ukweli ni kwamba kama unatamani kuonja jela,mdhamini Kafulila,akiambiwa akaamini,haambiliki,akatafakari,hufumba macho kisha hufanya maamuzi kumbe alomwambia kesha rudi nyuma.
 
Huyo Machali anaeweka hizo karatasi za misamaha anataka kutuambia nini? Anataka kutuambia nini zaidi ya sababu zilizotolewa kuhusiana na kufukuzwa kwake. Sidhani kama ni uungwana kumwanika mtu hivyo. Nadhani machali hana busara za uongozi. Kuwa kiongozi mzuri ni pamoja na kuchagua mambo ya kuanika. Ahh huyu kijana bana. Anachofanya Machali ni sawa na kumfukuza alieiba nguo yako. Unaonekana chizi kuliko unaemfukuza sory to say
 
Danda na Kafulila si marafiki hawa? Hawakutoka wote CDM leo kageuka mwenzake? Haya ni maajabu ya dunia.
 
Danda na Kafulila si marafiki hawa? Hawakutoka wote CDM leo kageuka mwenzake? Haya ni maajabu ya dunia.

Walikuwa marafiki na ndio aliwaingiza mkenge wakiwa cdm wakafukuzwa. hivyo huko nccr wameachana na ujinga wake. na tajuta kupenda madaraka kafulila ni sawa na Lusifa jamani
 
Back
Top Bottom