Natafuta transporter Morogoro

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
Wadau natafuta transporter anayeweza kufanya kazi ya kuhamisha staff toka Zanzibar kuja Moro, na kutoka Iringa kuja Moro.

Sharti transporter awe na ofisi Morogoro.

Mwenye lolote ani-PM tafadhali ama aseme hapahapa na anipe mawasiliano yake.
 
Wadau natafuta transporter anayeweza kufanya kazi ya kuhamisha staff toka Zanzibar kuja Moro,na kutoka Iringa kuja Moro.Sharti transporter awe na ofisi Morogoro.Mwenye lolote ani-PM tafadhali ama aseme hapahapa na anipe mawasiliano yake

kuna ABOOD, HOOD, NA YULE MCHAGA MWENYE MABASI. Wadagowadgo muone IDIVA MGONJA yupo kihonda Idiva.
 
Asante Marketer, ila simaanishi mabasi nahitaji gari la mizigo kama tani 5 hivi
 
Wadau natafuta transporter anayeweza kufanya kazi ya kuhamisha staff toka Zanzibar kuja Moro,na kutoka Iringa kuja Moro.Sharti transporter awe na ofisi Morogoro.Mwenye lolote ani-PM tafadhali ama aseme hapahapa na anipe mawasiliano yake

Please call +255-713411148 for your transportation needs.
 
Back
Top Bottom