Mafuta ya ubuyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya ubuyu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by chigwiye, Dec 21, 2011.

 1. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninauza mafuta ya ubuyu,mwenye kuhitaji tuonane hapa 0787891477
   
 2. F

  Fofader JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Weka bei na kwa ujazo gani?
   
 3. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tsh 30,000= kwa lita
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yametengenezwa kwa mbegu za ubuyu au nini??
  Yanatumikaje???
   
 5. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mafuta ya ubuyu kazi yake ni nini?
   
 6. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiweza google;we look at boabab oil and its use. ila kwa kifupi:

  Baobab oil is known for the following beauty benefits:

  Skin softening

  Skin restructuring
  Baobab Oil Organic
  Quick absorption

  Improves elasticity of the skin

  Encourages regeneration of cells

  Do no clog skin pores

  The essential fatty acids contribute towards maintaining a healthy skin

  Superb moisturizing benefits for skin and hair

  It is a non-siccative (non-drying) oil


  Topical application can help alleviate various skin disorders such as chronic dry skin, thin skin, chronic brusing and sun spots. Antioxidant and nourisher. Improve skin elasticity and epiderming softening .
   
 7. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  south africa wanauza US$ 17.00 for 11 ml We look at Baobab oil and its uses.

  Yanatokana na kukamuliwa kwa mbegu za ubuyu,practically yamewatibu pia wagonjwa wa kupooza kwa kupaka tu, kisukari kwa kuyanywa, na magonjwa mengi ya ngozi hasa eszema.
  Niko Dodoma,but natuma parcel mahali kokote nchini hata ya lita moja kwa gharama zangu
   
 8. B

  Baobab Products Member

  #8
  Jun 28, 2013
  Joined: Jun 20, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAFUTA YA UBUYU
  (BAOBAB SEED OIL)
  Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:

  1. Yanatengeneza seli zote ndani ya mwili.
  2. Huzuia ngozi isiharibike wala kupata makunyazi.
  3. Yanaondoa mafuta au koresto ndani ya mishipa ya damu.
  4. Yanapunguza uzito ulizidi.
  5. Yanarutubisha ini na figo.
  6. Yanaleta hamu ya kula.
  7. Yanaimarisha mifupa, kucha na nywele.
  8. Yanaongeza kinga ya mwili {CD4}.
  9. Yanaondoa sumu.
  10. Yanatengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa.
  11. Yanasaidia kuona vizuri na kumbukumbu.
  12. Yanapunguza vitambi na matumbo makubwa.
  13. Yanavirutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.
  14. Yanaondoa madoa, chunusi, fangasi, upele, m'ba na muwasho.
  15. Yanafaa kwa walemavu wa ngozi {albino}.
  16. Huondoa hamu ya kutumia madawa ya kulevya.
  17. Huondoa vidonda vya tumbo.

  Endelea kutumia mafuta bora ya ubuyu, ni bidhaa asilia ya kitanzania. Ni mafuta yasiyochanganywa na kitu chochote, ni mafuta asilia.

  MATUMIZI – USICHEMSHE.
  1. Kwa wagonjwa wa kisukari tumia kijiko cha chakula 1 tu nusu saa kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, na ya pili na ya tatu {kila baada ya siku 15 za kila dozi. Pumzika wiki moja na endelea kupima kila wiki}.
  2. Kwa vidonda vya tumbo, figo na ini kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 kabla hujala chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, siku 15 dozi ya pili, siku 15 dozi ya tatu {kila baada ya siku 14 pumzika wiki moja}, baada ya dozi tatu kuisha anza kunywa kila wiki mara moja, asubuhi nusu nusu saa kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja, asubihi kabla hujala chochote kwa muda wa miezi sita mfululizo.
  3. Kwa utoaji wa sumu kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kila siku kwa muda wa siku 14, kisha kunywa kila mwezi mara 1 kwa muda wa miezi sita mfululizo.
  4. Kwa kuongeza CD4 mwilini, tumia mafuta haya kama ifuatavyo:
  Asubuhi kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chakula cha usiku kwa muda wa miezi mitatu. Mgonjwa aanze kunywa baada ya kipimo cha mwisho alichopima.
  Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo wa Robo lita na zaidi.


  Kwa mawasiliano zaidi: Kama unahitaji naomba upige au tuma meseji kwenye namba zifuatazo
  ​ 0712700280 au 0766550881 nipo Dodoma karibu na Dodoma Hotel.
   
Loading...