Inawazekana vipi chama kutua maamuzi ambayo yanareflect moja kwa moja shughuli za serikali?
je kuna umbwe wa uongozi mpaka kupelekea chama kutoa maamuzi badala ya serikali, mfano mzuri swala la mafuta
chama kinapata wapi nguvu ya kikatiba kupunguza bei za mafuta?(japokuwa si jambo baya...
Museveni brothers Saracen security company may be training militia in Somalia
Posted by Nasongo Willy on December 16, 2010
Kampala (Alshahid) -Saracen International, a security company associated with Ugandas Gen Caleb Akandwanaho, alias Salim Saleh, a senior advisor to President Yoweri...
Tanzania kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukisumbuka na swala zima la nishati ya umeme...
kama tutakumbuka mgao umeanza takriban wiki moja tu baada ya kutangazwa matokeo ya Uraisi kwa nini muda hou? hapo hapo baada ya wiki mbili linakuja swala la dowans kushinda kesi dhidi ya tanesco na kutakiwa...
Wadau jana kwenye hotuba Bungeni nilimsikia akisema kwamba ataunda baraza bila kujali vyama, je kuna dalili yoyote akachagua mawaziri kutoka vyama vingine? hii itakuaje na msimamo wetu CHADEMA uko wazi tayari..
Is this is a sick joke?
While visiting Israel in March, Joe Biden, the US vice president, delivered a speech that delighted the Israeli Right and its followers here. The key passage was this: "When it comes to Israel's security there can be no daylight - no daylight - between Israel and the...
Chenge case not yet closed,says UK Send to a friend Thursday, 11 November 2010 00:09 digg
Andrew Change
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. It is too early to judge people implicated in the radar scandal because the issue has not been concluded in court, the British Government said...
Sitegemei kama tutaona Bunge lenye viwango vyovyote wakati huu, ni dhahiri kwamba kwa uteuzi huu wa "bora tukose wote" ni kuwapa nguvu tena mafisadi kujipanga upya baada ya kujeruhiwa vibaya, tukae tuone itakuaje lakini wengi wetu vichwani tunayo majibu tayari...
Kutokana na PCCB kuonyesha dhahiri wanamfanyia nani kazi na kwa njia zipi baada ya Waingereza kuweka mambo peupe, ni wakati muafaka wajitokeze tena na kuwaomba watanzania msamaha, baada ya hapo ipanguliwe upya..natoa hoja
kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!!
Legislation Tanzania (Lexadin)
ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!!
Wadau kuna mtu yoyote anafahamu maana ya hili neno 'makandokando' maana naona ni msamiati mpya na kwa kuwa umetumika kwenye maswala ya kisiasa nimeona niulize hapa na sio kwenye jukwaa la lugha.
Yule mwndishi aliyejibiwa na mtu wa Tume ya Uchaguzi jana baada ya kuhoji kucheleweshwa kwa matokeo majimboni bila sababu za msingi, kweli inaonyesha hawa jamaa hawachagui majibu kulingana na maswali....
Wanaokishutumu CHADEMA kuwa ni chama cha undugu, inawezekanaje kuweza kukubalika Tanzania nzima? mf. kwa tathmini yangu ni kwamba wananchi wameweza kuchagua wabunge kutoka Mashariki - Dar(Ubungo,Kawe etc), Magharibi - Kigoma, Kusini - Mbeya, Iringa, Kaskazini - Kilimanjaro, Arusha, Kanda ya Ziwa...
Wadau naomba michango yenu juu ya hili swala,
Hivi inawezekana vipi kwenye mkoa mmoja ukakuta CHADEMA imeshinda kata 12 kati ya 14 au imenyakua majimbo yote, wakati huo huo kwenye matokeo ya urais CCM ikaongoza wakifatiwa na CUF, Je kuna punguani yupi ambaye anaweza akapiga kura kuchagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.