Bunge la viwango???

FarLeftist

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
363
0
Sitegemei kama tutaona Bunge lenye viwango vyovyote wakati huu, ni dhahiri kwamba kwa uteuzi huu wa "bora tukose wote" ni kuwapa nguvu tena mafisadi kujipanga upya baada ya kujeruhiwa vibaya, tukae tuone itakuaje lakini wengi wetu vichwani tunayo majibu tayari...
 

KAPONGO

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,639
2,000
Wasiwasi wangu..(mungu apishilie mbali) bunge linaweza kuwa km la kenya..kutwangana makonde ukumbini inaweza ikawa si tatizo. Kwa vile sidhani wabunge aina ya akina Tundu Lissu watakubali kuambiwa'' kaa chini huna hoja weye na uache wivu wa kijinga kwa chama na serikali yake'' kwani uzalendo na manufaa ya umma unayajua wewe peke yako!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom