FarLeftist
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 363
- 20
Jamani mpaka Mzee wa vijisenti nae anautaka?
kweli wamefika pabaya
kweli wamefika pabaya
jamani mpaka mzee wa vijisenti nae anautaka?
Kweli wamefika pabaya
tetesi la Chenge kuwa spika lilianza muda mrefu sana kwamba plans za CCM ni kumpa Chenge uspika ili amsafishe Rostam na Lowassa then 2015 Lowassa aombee uraisi. Tulilisema watu wakabisha sasa oneni yanayoendelea. Na hivi wabunge wengi ni wa CCM uwezekano wa Chenge kuukwaa uspika ni mkubwaaaaaaa. Kwakweli tunahitaji delivarence hii ni hatari indeed!
Waacheni wamchague maana ndiyo watajimaliza wenyewe. Yangu macho kama vijicenti atapata usipika na malengo yakawa ni kuwalinda mafisadi basi Njia ya Chadema 2015 iko wazi na itapita KWA ULAINI KAMA UNANAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!:smile:
Jamani mpaka Mzee wa vijisenti nae anautaka?
kweli wamefika pabaya
Kama chenge atapewa ubunge basi nchi imekwisha! Huyu jamaa anatoa wapi guts za kuchukua fomu ya kugombea wakati Ana tuhuma kibao.sidhani Kama atapigiwa kura huyu
nataka pia kuapply natakiwa niwe na sifa gani?
Umeisahau hii mkuu uwe karibu na familia ya JKUwe na laki yako tano na uwe tayari kuwatetea wezi wa mali za umma hadi kufa
Ukiona Chenge kawa na ujasiri wa kuchukua form ujue kuna plan inafanywa nyuma ya pazia na kina EL, RA and company. Na usishangae atashinda hivi hivi tunavyosema haiwezekani.