makandokando

FarLeftist

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
363
20
Wadau kuna mtu yoyote anafahamu maana ya hili neno 'makandokando' maana naona ni msamiati mpya na kwa kuwa umetumika kwenye maswala ya kisiasa nimeona niulize hapa na sio kwenye jukwaa la lugha.
 
Makandokando nilivyoelewa kwa jinsi lilivyotumika jana kwenye gazeti la Mwananchi ni kama kashfa ambazo bado hazijapata uthibitisho toka vyombo husika kama mahakama n.k Hivyo Chenge ana makashfa mengi ambayo hatma yake haijulikani.
 
Back
Top Bottom