FarLeftist
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 363
- 20
Wanaokishutumu CHADEMA kuwa ni chama cha undugu, inawezekanaje kuweza kukubalika Tanzania nzima? mf. kwa tathmini yangu ni kwamba wananchi wameweza kuchagua wabunge kutoka Mashariki - Dar(Ubungo,Kawe etc), Magharibi - Kigoma, Kusini - Mbeya, Iringa, Kaskazini - Kilimanjaro, Arusha, Kanda ya Ziwa - Musoma, Mwanza na kwingineko kwingi, wadau mnalionaje hili?