Search results

  1. Michael Chairman

    Mbinu rahisi za kuongea na Rais Magufuli.

    Mazungumzo magumu si jambo rahisi , moja ya jambo linalowatatiza wengi sana kwenye maisha ya kila siku na kama hauna mbinu dhidi ya mazungumzo magumu yanaweza yasikuache salama kihisia na kiakili, nchini kwetu kwa sasa tunaye Rais ambaye utashi wake mkubwa ni kuona mambo yanakwenda na kama kuna...
  2. Michael Chairman

    Chato kuwa Gemba ya nchi kwani kuna ubaya gani?

    Wajapani ni moja ya nchi ya watu wanaochapa kazi sana, na utamaduni wao huu wa kuchapa kazi imewasaidia sana kupaa vileleni mwa nchi zenye uchumi bora na magunduzi mengi katika safari za kimafanikio, moja ya eneo ambalo wajapani wanalipatia uzito sana kwenye kazi ama maeneo ya kazi ni mahali...
  3. Michael Chairman

    Mrejesho wa mafunzo ya Meditation na Yoga kwa Mwanza jana.

    Jana zoezi lilikwenda vyema pamoja na changamoto ya watu wengi kutokufahamu ,dhana hii mpya lakini tumekbaliana kuendelea kuwaamsha walio lala zaidi na zaidi , shukrani sana kwa Guru Kinabo , Angela Adolf pamoja na washiriki wote walioanza mwanzo mpaka mwisho , pamoja na Mwal Reiner Charles...
  4. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

    Kwa mara nyingine Light and sound meditation Africa ,Inakuletea mafunzo ya kiroho jijini Mwanza yatakayofanyika kwa siku mbili yaani jumamosi na Jumapili 13/14 /4 /2019 kuanzia saa tatu asubuhi ,Maeneo tulivu ya Royal sunset campsite beach Malimbe Luchelele. Unakaribishwa wewe na familia yako na...
  5. Michael Chairman

    Njoo tujifunze namna ya kupanga , kuweka malengo na kuyafikia.

    Malengo ndiyo eneo linalokutofautisha wewe na wengine katika kufanikisha na kuyafikia mafanikio unayoyataka katika safari ya maisha, moja ya sababu kubwa inayoripotiwa kuwakwamisha wengi katika kufanikisha na kuyafikia malengo yao wanayojiwekea ni pamoja na wengi wao kutokufahamu namna ya...
  6. Michael Chairman

    Acha kubisha bisha kwa kitu usichokijua....

    Kuna mambo mengi nchini kwetu kwa nyakati kama hizi huenda yanakwenda kama kutokujua ama yanakwenda kama taarifa za moto moto ama mpya zinazovuma, na wadadisi wa mambo na waona mbali hutoa tahadhari juu ya kujiweka karibu na ulaji wa taarifa maana kuna lundo la taarifa huja kuibua hisia zako za...
  7. Michael Chairman

    Waumini wa kweli lazima wasiwe na furaha na maisha ya kutosheka.

    Imani , dini na mambo ya kiroho ni mambo matatu mtambuka na yasiyo kuwa na maana sawa kwa wajuvi wa mambo , Imani yapasa kuwa msingi imara kumhusu mtu kuelekea thamani anazojipa yeye mwenyewe kwenye maisha yake ya kila siku. Kwa kuwa na imani na yeye basi inatosha kabisa kumfanya kuwa muumini...
  8. Michael Chairman

    Kutoroka na ndege ni uzalendo kwa Taifa , Kujikimu Kimaisha kwa rasilimali za Taifa ni Wizi.

    Taifa linaweza kukubaliana kwa namna mbalimbali katika kulipatia maana neno uzalendo kwa Taifa , ni ukweli usiopingika kuwa mataifa yaliyopiga hatua za kimafanikio duniani yamelipatia maana nyingine kabisa neno uzalendo kama dhana za kiporaji na wizi ndiyo huwa maana ya uzalendo lakini wakati...
  9. Michael Chairman

    KIJANA WA UMRI WA MIAKA 20+ AFANYE NINI KUJIHIMU NA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIUWEKEZAJI?

    KIJANA WA UMRI WA MIAKA 20+ AFANYE NINI KUJIHIMU NA MASUALA YA KIUCHUMI NA KIUWEKEZAJI? Mwaka ndiyo upo ukingoni , wengi wetu wakati huu pia tumeongeza umri kwenye namba za miaka yetu na wengi ndiyo wamekuwa vijana kwa sasa na kwa lugha nyingine maisha ndiyo wakati wa kuyakabili kwa uaminifu...
  10. Michael Chairman

    Tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu (maarifa nyeti)

    Kwenye vitabu ndiyo mahali unapokutana na watu wenye akili sana na mawazo chanya na tunduizi ambayo yanakufanya uelimike , ufurahi , ushangae na hata kuduwaa. Sasa kupitia uzi huu tukutane hapa wasomaji wakubwa wa vitabu tubadilishane maarifa toka vitabuni yenye kutujenga na kutupa hamasa kubwa...
  11. Michael Chairman

    Majibu ya changamoto ya ukosefu wa ajira nchini kwetu /ushauri na maoni.

    Nchini kwetu na duniani kwa ujumla kunashuhudiwa ukosefu na uhaba wa ajira haswaa kwa vijana waliomaliza elimu zao , ambao wapo tayari kuajiriwa. Ni jambo la kusikitisha sana unaposikia nafasi za kazi zilizotangazwa ni tatu (3) kisha wanajitokeza waomba nafasi hiyo mamia ya vijana kwa nafasi...
  12. Michael Chairman

    Rais Magufuli nenda hatua zaidi ya ngazi za uongozi

    Salamu kwako Mh Rais........... Hongera na kazi njema ya kulijenga Taifa. Uongozi ni moja ya eneo muhimu sana linaloweza kuleta mabadiliko chanya kama tu uongozi ama viongozi waliopo wapo tayari kuongoza vizuri wale wanaowaongoza, pamoja na hilo kiongozi anakabiliwa na wafuasi (wanaongozwa)...
  13. Michael Chairman

    Kusudio la kuanzisha chama cha kisiasa kipya hapa nchini

    Nchini kwetu hii leo , yapo maneno mengi juu ya mwelekeo wa siasa nchini hasa yanayotoa taswira ya kukosekana kwa chama mbadala wa kukikabili chama cha mapinduzi ama kuonyesha mfano wa kuigwa na kutumainiwa kupewa madaraka ya kuongoza nchi yetu na kuuisukuma kwenye mafanikio ya kila mtanzania...
  14. Michael Chairman

    Tetesi: kutunguliwa toka juu , haijawahi kuwaacha salama walinzi wa rais wa marekani.

    Mwaka 1963 mwezi November wamarekani walimpoteza Rais wao wa 35 John F. Kennedy , Tukio ambalo kwa hakika hakuna ayelifurahia kutokana namna ambavyo mauaji hayo yalivyotokea, inasemekana Rais John F. Kennedy aliuawa na mdunguaji aliyekuwa kwenye moja ya jengo la ghorofa , wakati RaisJohn F...
  15. Michael Chairman

    Watanzania wajipa jukumu la kuandika maandiko kwenye utawala wa Rais Magufuli

    Katika hali ya kushangaza na sijui ni ubunifu, Watanzania waanza harakati za kuandika maandiko sijui tuyaite matakatifu au ? Mimi nayaita maandiko yawataka vujo na si yawatakatifu , ni huko kwenye mtandao wa kijamii wa twiter mtandao pendwa na Rais wa Marekani Donald Trump.. Tiririka nao hapa...
  16. Michael Chairman

    Iddi Zungu awataka Wabunge wasimsumbue Tundu Lissu, wamuache atoe mchango wake

    Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama...
  17. Michael Chairman

    Kutoka kulala chumba kidogo mpaka kuwa Bossi inawezekana.

    jifunze jambo kutoka kwa bosi wa kampuni pendwa duniani ya GOOGLE 1. Sundar Pichai was born in Chennai and his family of four (Pichai, his mother, his father and younger brother) lived in a two-room apartment. Pichai was the captain of his school cricket team and under him, the crew won several...
  18. Michael Chairman

    Ushauri wa kifedha kwa vijana

    Habari za mchana wanabodi, natumai muwazima, Ufuatao ni ushauri kidogo wa kifedha ambao kwa kiasi kikubwa ukifuatwa unaweza kutoa tija ya kila anayeufuta. 1.Usitumie fedha kwenye vitu unavyofikiri unavihitaji kuwa navyo tumia kwa mahitaji muhimu. 2.Usinunue vitu ili kuongeza uwezo wako wa...
  19. Michael Chairman

    Kwa vijana waishio Mwanza...

    Baada ya shamrashamra za sherehe za Muungano hapo jana, leo tena ni siku nyingine maridhawa nzuri ya kuendeleza gurudumu la kutufanya tuishi kwenye sayari ya dunia yenye kila nyenzo za kila namna, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, ujumbe huu ni kwa vijana waishio mwanza wenye ndoto za...
Back
Top Bottom