Njoo tujifunze namna ya kupanga , kuweka malengo na kuyafikia.

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
581
malengo event..png
Malengo ndiyo eneo linalokutofautisha wewe na wengine katika kufanikisha na kuyafikia mafanikio unayoyataka katika safari ya maisha, moja ya sababu kubwa inayoripotiwa kuwakwamisha wengi katika kufanikisha na kuyafikia malengo yao wanayojiwekea ni pamoja na wengi wao kutokufahamu namna ya kupanga , kuweka na kuyafikia malengo hayo.
Kupitia jukwaa la kundi sogozi yaani whatsapp group ya learning center imekuandalia wewe pamoja na wajumbe wa jukwaa hilo tukio la kukutana na kujifunza kwa vitendo namna ya kupanga , kuweka na kuyafikia malengo utakayojiwekea, mchakato huu utafanyika kwa mikoa ambayo ina wajumbe zaidi ya kumi kutoka kundi sogozi hilo na watakutana kwa mahali na muda watakaopanga wao lakini kwa siku na tarehe ya 05/1/2019 na mambo yatakayofanyika ni pamoja na:-

  1. kufundishana kwa vitendo juu ya namna kuweka na kuyafikia malengo.
  2. kufahamiana na kuwa na kujenga connection power.
  3. kubadilishana mbinu za kufanikisha malengo.
  4. kubadilishana malengo na wenzako na.
  5. kuweka nia ya kuyafia.

Jambo hili limeandaliwa katika kuuanza mwaka ndiyo nafasi muhimu ya kupanga na kufanikisha mengi katika kuuendea mwaka.
pamoja na kwamba kuna mambo mengi yayowafanya wengi wetu kutokutimiza malengo na moja sababu hizo ni pamoja na

  1. ubinfsi
  2. uoga wa kushindwa
  3. kutukuwa na malengo
  4. kuwa na malengo bila kuwa na mpango
  5. mabadiliko ya kimaisha.
  6. majukumu ya kifamilia
  7. usalama wa kifedha
  8. kukosa mwelekeo.
  9. kakata tama.
  10. kukosa uvumilivu.
  11. kukosa mafunzo.
  12. Kuosa vipaumbele. na mengine mengi njoo kwa pamoja tuvikwepe vikwazo hivi kwakua na mbinu bora. tumia mawasiliano haya kufahamu namna program itakavyoendesha nawe kufika. 0759880010 (Michael The great) 0713 859 690 ( Wendy George)
 
Hio group whatsap inalipiwq kwanza au..???

Sent using Jamii Forums mobile app
bure mkuu ni MB zako tu mpaka sasa group hili linamiaka miwili ni matokeo ya wengi kufanikiwa kutokana na kundi hilo na wengi wameanzisha biashara na kuchukua usukani wa maisha yao.... wasiliana name kukuunga kwa namba hizi 0759880010 kwa whatsapp.~Michael The Great one
 
Tueleze kabisa kama kuna malipo huko ya kuingia kwenye group?
bure mkuu ni MB zako tu mpaka sasa group hili linamiaka miwili ni matokeo ya wengi kufanikiwa kutokana na kundi hilo na wengi wameanzisha biashara na kuchukua usukani wa maisha yao.... wasiliana name kukuunga kwa namba hizi 0759880010 kwa whatsapp.~Michael The Great one
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom