Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 581
Wajapani ni moja ya nchi ya watu wanaochapa kazi sana, na utamaduni wao huu wa kuchapa kazi imewasaidia sana kupaa vileleni mwa nchi zenye uchumi bora na magunduzi mengi katika safari za kimafanikio, moja ya eneo ambalo wajapani wanalipatia uzito sana kwenye kazi ama maeneo ya kazi ni mahali ambapo bidhaa huzalishwa ama kazi hufanyika na kwa lugha yao ya kijapani eneo hilo huitwa gemba ,
Kama nchi pia na sisi , Tanzania chini ya utawala wa Rais wetu kipenzi John Magufuli tunaona anaendelea kuongeza gemba kwenye nchi kama maeneo ya kukuzia uchumi wa Taifa pamoja na hilo na jitihada zake nzuri za kukuza gemba ya chato kuchangia pato kwenye taifa kwakua na vituo vya utalii, uwanja wa ndege na juzi waziri wa utalii amesema kwa uzuri sana kuwa kutajengwa hotel ya nyota tatu, boti za kisasas, kivuko cha kisasa, mambo mazuri.
pamoja na hayo yote mazuri bado kumeibuka na maoni ya watanzania juu ya ukuzaji wa Gemba ya Chato , huenda tuulizane swali la kuwekana sawa kwani kuna ubaya gani Chato kuwa Gemba ya nchi ?