Mrejesho wa mafunzo ya Meditation na Yoga kwa Mwanza jana.

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
581
Jana zoezi lilikwenda vyema pamoja na changamoto ya watu wengi kutokufahamu ,dhana hii mpya lakini tumekbaliana kuendelea kuwaamsha walio lala zaidi na zaidi , shukrani sana kwa Guru Kinabo , Angela Adolf pamoja na washiriki wote walioanza mwanzo mpaka mwisho , pamoja na Mwal Reiner Charles tunashukuru sana , heshima za dhati ziende kwa Dr Nuhu aliyefundisha dhana ya Afya na Meditation shukrani sana sana. Kutokufahamu jambo haimanishi jambo hilo halipo , kasi ya mabadiliko ni kubwa na imekuwepo miaka na miaka usipotaka kubadilika utabadilishwa tu utake usitake.
1071270
 
Back
Top Bottom