Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 583
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.