Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 583
Baada ya shamrashamra za sherehe za Muungano hapo jana, leo tena ni siku nyingine maridhawa nzuri ya kuendeleza gurudumu la kutufanya tuishi kwenye sayari ya dunia yenye kila nyenzo za kila namna,
kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, ujumbe huu ni kwa vijana waishio mwanza wenye ndoto za kufanikiwa na kufikia malengo yao ya juu kabisa waliojiwekea , ni muhimu sasa kila kijana kuja na mbinu na wazo la namna bora ya kuyafikia mafanikio makubwa wakati tukiwa vijana ili wakati wa huzuni yaani [HASHTAG]#UZEE[/HASHTAG] uwe na tija na kusiwe tena na masumbufu makubwa ya kuhangaika kusii serikali na mashirika kutoa huduma za kiafya bure kwenye uzee wetu , kuishi kwa huruma ya watu wengine ....
Sasa basi kupitia ujana tunaweza kufanya kila linawezekana kuweka na kupanga hatima yetu kuwa bora zaidi , kwa kugeuza ujana wetu kuwa mtaji. unachopaswa kufanya ni andika number yako ya simu kisha nitakuunganisha kwenye group la WhatsApp la kujenga fikra na kukuza uelewa na kuelekea kuanzisha taasisi yetu yenye malengo na adhima ya kukuza ali ya vijana kuwekeza wakiwa vijana ili kuepuka uzee wa aibu.