Search results

  1. majata

    Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Mfumo wa ukodishaji wa wafanyakazi umeshika kasi sana hususani kwa makampuni Mengi makubwa hapa nchini, hili lipo sana sana kwa yale makampuni yaliyo na chimbuko la nje ya nchi. Mfumo huu unaviashiria vya ukwepaji wa mambo fulani ikiwemo kodi kwa Serikali, utakatishaji wa fedha na kunyonga...
  2. majata

    Sambaza upendo

    Ndugu wanajamii forum wenzangu, kutokana na mwenendo wa janga la corona duniani kwasasa njia mojawapo muhimu kuchukua wakati huu ni kuhamasishana zaidi namna ya kuvunja mianya ya usambaaji wa huu ugonjwa ambao kwasasa hata kwetu hapa Tanzania tunao. Njia kubwa na Muhimu kwasasa ni kuvunja namna...
  3. majata

    Ajira zaidi ya 20000 zinazochezewa na Mafisadi wachache.

    Tatizo la ajira nchini ni Kubwa japo jitihada za serikali ni kubwa katika kulipunguza hili tatizo, Inasikitisha Kuona Baadhi ya watanzania wenzetu wameamua kuzifanya baadhi ya ajira kama kitu cha kujinufaishia wao wachache Huku wakiumiza watanzania wenzao wachache, Naomba Mhe Rais na watendaji...
  4. majata

    Watanzania Tubadilike.

    Zipo changamoto nyingi ambazo nchi zetu hizi masikini tunakabiliana nazo Kilasiku, kiukweli ni jukumu la kila anayeishi Tanzania Kushiriki Kuzitokomeza, kwani hii ni kwaajiri yetu wenyewe tuliopo hapa na kwaajiri ya vizazi vyetu vijavyo, Kama wananchi wa Tanzania sisi ni kama machine wezeshi ya...
  5. majata

    Wapinzani acheni kuwadumaza watanzania

    Pamoja na uwezo mzuri wa kusimamia serikali ambao mnajitahidi kuuonyesha, inabidi sasa mbadiliashe mbinu za siasa, maana siasa zenu zimejaa ulalamishi, na ukinzani tu wala hamuakisi kama ndio waendesha serikali mbadala, kwa zaidi ya miaka 10 tunazungumzia RICHMOND, EPA, BUZWAGI NK, Mambo ambayo...
  6. majata

    Nauza Camera Sony PD 150.

    bei Tsh: 1500000, inahali nzuri, kwa anayehitaji tuwasiliane 0753572717.
  7. majata

    Nauza Camera Sony PD 150.

    bei Tsh: 1500000, inahali nzuri, kwa anayehitaji tuwasiliane 0753572717.
  8. majata

    Tangazo

    MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025 Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu katika fani mbalimbali na ushindanisshi huu utakuwa ukirushwa live na TV mbali mbali za hapa nchini...
  9. majata

    Tangazo

    MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025 Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu katika fani mbalimbali na ushindanisshi huu utakuwa ukirushwa live na TV mbali mbali za hapa nchini...
  10. majata

    Tangazo: Mashindano ya matumizi ya ubunifu kati fani mbalimbali

    MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025 Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu katika fani mbalimbali na ushindanisshi huu utakuwa ukirushwa live na TV mbali mbali za hapa nchini...
  11. majata

    Vijana wa ACT, ukorofi wenu pelekeni CCM

    kumeibuka kundi kubwa la vijana wa ACT Mitaani wakipanga mashambulizi dhidi ya CHADEMA bila kujua mbaya wetu no 1 ni CCM acheni umburul.a wenu shambulieni CCM nasio CHAMA MAKINI CHADEMA, moto wenu unawakia wakombozi wa kweli, poleni msidumaze harakati za kweli za ushindi Dhidi ya maCCM.
  12. majata

    Changamoto kwa Wahandisi Tanzania - Uundaji wa high speed train

    Ndugu watanzania wenzangu, nashawishika kujitoa muhanga kama muhandisi mchanga niliyepatia taaluma hii ya uhandisi umeme katika vyuo vyetu hapa nchini, nilihitimu mafunzo ya awali katika fani ya umeme ngazi ya cheti(FTC) mwaka 2004, Baadae kuendelea na masomo katika fani hiyohiyo ya Umeme katika...
  13. majata

    Tuipende nchi yetu sisi wenyewe kwanza, Iposiku tutafika.

    http://youtu.be/j1kptzDb1Ks
  14. majata

    CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

    Umaarufu wa chadema unazidi kuporomoka Baada ya Kumtungia Tuhuma zisizo za kweli Mh zitto kabwe, lengo kuu lilikuwa ni kuhakikisha Hapati uwenyekiti na anapotea kisiasa kabisa, waasisi wa jambo hili ovu hawakujua kwamba wanaharibu Mzizi mkuu kabisa wa chama ambao kama ukikatika jumla utapelekea...
  15. majata

    Ushauri kwa Msanii Tunda man.

    Naomba ni mshauri Tunda Aongeze bidii kwenye utunzi wa nyimbo za kuhuzunisha sana aachane kabisa na nyimbo za mapenzi kama ilivyokawaida ya bongo fleva,sauti yake inafaa sana akaimba nyimbo hizi zitamfanya afike mbali sana. kama ni msomaji wa jf basi ajaribu kuutumia ushauri huu utamsaidia.
  16. majata

    Mabomu ya Arusha Mkutano wa Chadema, Hivi Mbowe alidanganya umma au Ulikuwa Mtaji wa kisiasa?

    Tuhuma za polisi kuhusika katika mashambulizi ya mabomu ya Arusha 15/june/2013, na uthibitisho wa Video alionao mh Mbowe mpaka leo bila kuudhihirishia umma ni nini Kilitokea ili sikunyingine watu wachukue tahadhali katika mikutano, na ili pia kurahisisha haki kutendeka, je! kuna ukweli wowote...
  17. majata

    CHADEMA Bado Elimu sio kigezo kikubwa kwa Ubunge?

    1) Godbless Jonathan Lema -- Diploma 2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC 3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd 4) Freeman Aikaeli Mbowe – Form six 5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education – O level 6) Simon Peter Msigwa - -- O level, 7) Yohana Israel Natse ---...
  18. majata

    tuipende nchi yetu kwanza.

    nipo njiani kutoa 3D cartoon niliyoitengeneza mwenyewe, ya kiswahili na itakayowafaa zaidi watoto wa kitanzania
  19. majata

    Kwahili la zito chadema imechemka sana.

    Uamuzi wa kumvua madaraka Mh zitto na Kitila, ni uamuzi mzito sana ambao chadema ilihitaji kuufikiria kwakina nakujiridhisha kwamba madai yote yanayoelekezwa kwa zitto hayana shaka yeyote. uamuzi huu unazusha maswali magumu sana ambayo chadema kinapaswa kujibu,maswali ni: 1.Uthibitisho wa...
  20. majata

    Propaganda ya wanasiasa isifute ukweli wa ushauri wa rais Kikwete kwa Kagame

    Pamoja na ukweli kwamba Tanzania ya sasa inakabiliwa na changamoto nyingi katika Uchumi wake na sababu kuu ikiwa ni siasa yetu ya mdomoni tu na sio katika utendaji. bado hii sio sababu ya sisi raia wa Tanzania kuanza kumpinga Raisi wetu kwa kuegemea katika propaganda za wanasiasa ambao wanatumia...
Back
Top Bottom