Tangazo

Tangazo

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
MISSION GOOD HOPE TANZANIA 2025

Inawatangazia wahandisi wote waliohitimu na wanaotarajia kuhitimu katika fani mabalimbali za uhandisi kuwa tunajipanga kufanya ushindanishi wa matumizi ya ubunifu katika fani mbalimbali na ushindanisshi huu utakuwa ukirushwa live na TV mbali mbali za hapa nchini, Lengo la ushindanishi Huu ni kupata wahandisi watakaoshiriki katika Mission Good Hope Tanzania 2025 ambapo watakuwa ndio msingi mkubwa wa mabadiliko ya Kiuchumi na Technolojia Ya Tanzania.

Je Una Project yoyote Yenye kuvutia iliyojaa technolojia, katika nyanja zifuatazo; Umeme, mechanics, electronics, software engineering basi unakaribishwa kututumia kwa ufupi katika Email yetu: missionGHT2025@yahoo.com ilitukutathmini kama unakidhi vigezo vya kuingia katika ushindani huu, ambapo baada ya ushindani huu washindi wataibuka na zawadi NONO na moja kwa Moja kuingia katika MISSION GOOD HOPE TANZANIA.


WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI.
 
Back
Top Bottom