majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 431
- 180
Uamuzi wa kumvua madaraka Mh zitto na Kitila, ni uamuzi mzito sana ambao chadema ilihitaji kuufikiria kwakina nakujiridhisha kwamba madai yote yanayoelekezwa kwa zitto hayana shaka yeyote. uamuzi huu unazusha maswali magumu sana ambayo chadema kinapaswa kujibu,maswali ni:
1.Uthibitisho wa kinachoitwa usaliti wa zitto, Je! nidhahiri nasio hujuma dhidi ya zitto?.
2.kwanini jambo hili la zitto lisingefanyika baada ya uchaguzi mkuu au kwakuwa zitto anatishia uenyekiti wa chama?.
3.Kwanini waropokaji kama lema hawajawahi kuchukuliwa hatua?.
4.msimamo wa zitto wa maamuzi ya matumizi ndani ya chama kufanywa na watu watatu ndani ya chama, mbona ni wasiku nyingi na haujawahi kutolewa ufafanuzi wakina?
5.Hata kama kweli zito ni msaliti kwanini asiitwe na kupewa onyo badala yake mnatumia misukule yenu kama lema kumpiga mawe zito wakati nyie mnajifanya hamjamtuma lema?.
6.je kuondolewa kwa zitto sio chuki binafsi za mwenyekiti mbowe dhidi ya ukweli wa zitto?.
7.Tangu muanze kupokea ruzuku na misaada mikubwa mikubwa mnaweza kujivunia nini? je mmejenga ofisi za maana? je mmejenga hata vijiofisi mikoani? au ndio mnategemea michango tu yawanachama?.
Kiukweli chadema ni Taasisi inayotiliwa mashaka zaidi, haina tofauti kabisa na CCM, tena nibora hata CCM wanademocrasia kwani kambi za urais ni ruksa.
Hivi nilini chadema itamuona mtu anaye kiharibu chama kikweli? au mpaka Mungu aje awasaidie katika hili? utawala wa kiimla wa Mbowe na Slaa lazima ukome na utawale utawala wa Kidemocrasia ya kweli, utawala wa uwazi na ukweli utawala wa kujali haki na nguvu ya umma kikweli Kama nilivyodhani chadema kitakuwa. nasio nguvu ya mbowe na slaa kama ilivyo sasa.
Zitto atajiudhuru uanachama sio muda mrefu kutoka sasa na atakuja na nguvu ya umma halisia na sio hii feki ya mbowe na slaa.
BIG UP BRO ZITTO NAKUFAHAMU KAMA MTU SMART TANGU TUPO TOSAMAGANGA MPAKA LEO HII, HAUKO HAPO KWASABABU YA UMAARUFU WA MBOWE WALA SLAA SIASA KWAKO NIKIPAJI MUNGU AMEKUPA NA HAKUNA WAKUPAMBANA NA WEWE.