Search results

  1. Sijali

    LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

    Time is not on our side. Mradi wa 41b hata ukiwa mbovuTanzania itafaidika sana. fikiria out of box: ajira, wageni, training, na vitu chungu nzima. Hawa negotiators wetu wataka fixed percentage tu ndicho wanachokijua. Hakuna mtu atakayekupa 41 b halafu asione kama anazirudisha. Na Tanzania ni 'a...
  2. Sijali

    LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

    Kwa experience yangu, masuala yanayohitajia kufikiri kama hili, hayapati wachangiaji wengi. Na mtu akichangia huwa ni hivyo- 'nani kakuambia kuwa mradi unachelewa?' aina hiyo. Watanzania tuna tatizo kubwa ndugu yangu. Suala kama hili lingetolewa kwenye forum za Uganda au Kenya...
  3. Sijali

    Tahadhari yatolewa Bonde la Rufiji, baada ya bwawa la JNHPP kufunguliwa maji yake

    Wallahi nasema hatufiki! Kwa akili hizi!
  4. Sijali

    Ni lini tataanza kuweka mikakati ya kupandisha thamani ya pesa yetu?

    Msukuma amekuwa Waziri? Naksudia kile kitu cha Trab na Trat, or whatever.
  5. Sijali

    Ni lini tataanza kuweka mikakati ya kupandisha thamani ya pesa yetu?

    Hii haitatokea katika umri wako wala wangu!
  6. Sijali

    Ni lini tataanza kuweka mikakati ya kupandisha thamani ya pesa yetu?

    No. Kwa Tanzania kwa kweli kupandisha shillingi kutatokana na kukata matumizi makubwa na yasiyo lazima ya serikali, kuongeza uuzaji wa bidhaa nje ya nchi na hiyo ni kwa kupungza vikwazo lukuki kwa wasafirishaji bidhaa, pia kuongeza akiba ya psa za kigeni nje badala ya kukopa ovyo ovyo...
  7. Sijali

    Ni lini tataanza kuweka mikakati ya kupandisha thamani ya pesa yetu?

    Inakuwaje kwamba Kenya, kuanzia kati ya mwaka uliopita, ilishuhudia kuanguka vibaya kwa sarafu yake, Kenya Shilling, hadi kufikia mwisho wa 2023, ilipoteza asilimia 20% ya thamani yake. Shilingi ya Kenya iliwahi kubadilishwa Sh.167 kwa dola moja, kutoka shilling 135 kabla rais Ruto kushika...
  8. Sijali

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Hizi Social media bwana! Zimewafanya vibogoyo kusema na kuuliza! Ziara za rais nyingi zina manufaa kwa nchi; labda kama wazungumzia zile za JK. Pili, huwezi kushutumu ziara hadi ujue madhumuni na nini Tanzania inapata. Hujui!
  9. Sijali

    Kama tumeshindwa si aibu

    Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania. Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
  10. Sijali

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Nchi ya akili ndogo hii. Kweli ni Waziri yupi amaweza kuwa ana akili kubwa. Tukizungumzia Bil.42 ni pesa ambayo mwenye akili angefanya kila kitu iingie, naama, hata kwa masharti mabovu!
  11. Sijali

    Waziri Mwigulu: Tanzania inakopa kwa Sababu ina Uwezo wa kulipa

    Hawa ndio watu wanaopendwa na mama. Waziri wa uchumi ni muhimu kuliko hata Waziri Mkuu. Leo analiweka jitu kichama! Ameshindwa hata kudhibiti kuporomoka kwa shilingi, na hivyo kuongeza umaskini zaidi. Kenya dola ilifikia 160 na hivi nisemavyo imerudi hadi kufikia 130 kwa mikakati ya Waziri wao...
  12. Sijali

    CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Ni ukweli usiofichika Wakristo wengi sana hapa Tanzania wako 'indoctrinated' (wamekasumbishwa?) dhidi ya Waislamu; wanaamini na kukubali vitu vya kipumbavu sana juu ya Waislamu, hata hao wasomi wao! Kwa upande mwingine, Waislamu wengi pia, wanawaona Wakristo wanapendelewa katika kila jambo hata...
  13. Sijali

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Wazenj was0me kut0ka Uingereza! Hivi sasa wataka wapige kura tena warudi EU! Utajiri m0dhani mtaupata baada ya kujitenga ni myth. Kama Mwarabu asaidia 0vy 0vy angeisaidia Yemen, Sudan au hata wafanyakazi wa ndani ku0tka nchi za Kiislamu!
  14. Sijali

    Kipimo cha kuchelewa kwetu!

    Jina lak0 pekee ulil0jichagulia kwa hiari yak0, lafichua 's0mething'!
  15. Sijali

    Kipimo cha kuchelewa kwetu!

    Watanzania wengi wamenyweshwa propaganda kuwa nchi imeenedelea mno chini ya CCM, na kwamba bad0 tunachanja mbuga! Maskini! Baada ya CCM kuwanyang'anya lugha ya pili, Kiingereza, ambayo angalau wangeweza kufuatilia masuala ya Kimataifa na jinsi maisha yalivyo kwa wengine, uwezekano pekee wa...
  16. Sijali

    Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Kas0meshwa lakini hakus0ma. Sina huruma na watu kama hawa wana0jina waungu kwa sababu ya che0. G00d riddance
  17. Sijali

    Who is Mwigulu Nchemba?

    Just a stack 0f bull manure!
  18. Sijali

    Kwanini Mwalimu Nyerere aliwafukuza Waisrael akawaacha Wapalestina?

    Huu ndiy uivu wa kufikiri! Zaire, Cng Brz, Uganda....zte zilikuwa na uhusian wa karibu na Israel, wameendelea kutushinda? Maendeleo ni maamuzi yak hakuna mtu atakayekuletea maendele, hata katika maisha yak biinafsi. Acha ukupe!
Back
Top Bottom