DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 877
- 2,427
Mumlaumu aliyesimama mbele ya umati na kusema hayo mnayoyakanusha leo. Upuuzi mkubwa sana huu mtu mkubwa anadharirishwa hovyo namna hii kwakweli hata Mungu hapendi sio vizurView attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.