Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989

Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.

MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI

iu
Rubani
 
Tunaposema huko CCM kunafukuta muwe mnatuelewa

Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.

MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI

K

Kampeni ya Kusifu na Kuabudu Watawala Inaendelea.
 
Ukweli usemwe. Katika maraisi waliogoma kufa ni hayati nyerere na hayati JPM JOHN POMBE MAGUFULI.
Huyu mzee kagoma kufa kabisa, kila kukicha yupo midomoni mwa watu.

Kama ni ukatili aliofanya unasabbisha watu waendelee kumuongelea au mambo aliyoyafanya ambayo yanaonekana mpaka sasa, yanaypsababisha watu waendelee kumuongeleea bado sijaelewa.

Itoshe kusema kuelekea uchaguzi mku NINA HAKIKA JINA LA MHESHIMIWA HAYATI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI LITAKUWA KAMA MAJI USIPOLINYWA UTALIOGA.

Na tayari CCM WANATUMIA KAMA MBINU YAO YA VITA KWA KUENDELEA KUMTUMIA MAGUFULI
 
Ukweli usemwe. Katika maraisi waliogoma kufa ni hayati nyerere na hayati JPM JOHN POMBE MAGUFULI.
Huyu mzee kagoma kufa kabisa, kila kukicha yupo midomoni mwa watu.
Kama ni ukatili aliofanya unasabbisha watu waendelee kumuongelea au mambo aliyoyafanya ambayo yanaonekana mpaka sasa, yanaypsababisha watu waendelee kumuongeleea bado sijaelewa.
Itoshe kusema kuelekea uchaguzi mku NINA HAKIKA JINA LA MHESHIMIWA HAYATI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI LITAKUWA KAMA MAJI USIPOLINYWA UTALIOGA .
Na tayari CCM WANATUMIA KAMA MBINU YAO YA VITA KWA KUENDELEA KUMTUMIA MAGUFULI
Ukiachana na aliyofanya ni Raisi wa kwanza kufia madarakani tangu uhuru. Hapo tu kuna exception.
 
Back
Top Bottom