Hatuuhitaji tena, tuna bwawaAGENDA 1: Kwanini mradi wa LNG unachelewa kuanza?
Hatuuhitaji tena, tuna bwawaAGENDA 1: Kwanini mradi wa LNG unachelewa kuanza?
LNG sio kwaajili ya umeme mkuu, ni kwaajili ya kuuza gesi kama gesi.Hatuuhitaji tena, tuna bwawa
Umeme wa bwawa tutapikia, tutaendeshea viwandaLNG sio kwaajili ya umeme mkuu, ni kwaajili ya kuuza gesi kama gesi.
Tunaomba jikite kwenye Mada iliyotajwa mkuu.Umeme wa bwawa tutapikia, tutaendeshea viwanda
Msaidie tu mkuu, naona uelewa uko chini kidogoTunaomba jikite kwenye Mada iliyotajwa mkuu.
Nakiri kwamba sina kielelezo :Tulitakiwa kuanza utekelezaji hata kabla ya Mozambique.
Mkuu, according to Wikipedia inaonekana kuna sehemu bado makubaliano hayajafikiwa kati ya serikali na wawekezaji.Wachangiaji tunaomba mawazo yenu. Njooni huku huu ni mjadala huru.
Mkuu umeeleza vyema sana. Sasa nini kifanyike.Mkuu, according to Wikipedia inaonekana kuna sehemu bado makubaliano hayajafikiwa kati ya serikali na wawekezaji.
Pia isitoshe mazungumzo yalianza awamu ya tano chini ya waziri Kalemani. Samia nae akaja na mawaziri wake pengine wakaona kuna vipengele havipo sawa wakaamua warudi mezani kuplan upya kutokana na ukubwa wa project.
Nadhani ni vyema kutokukurupuka na kuingia kwenye mikataba mibovu eti kisa tu Msumbiji wameingia, we still have time.
Let's learn from our past mistakes.
Kwa experience yangu, masuala yanayohitajia kufikiri kama hili, hayapati wachangiaji wengi. Na mtu akichangia huwa ni hivyo- 'nani kakuambia kuwa mradi unachelewa?' aina hiyo. Watanzania tuna tatizo kubwa ndugu yangu. Suala kama hili lingetolewa kwenye forum za Uganda au Kenya vile....lingejadiliwa hata kwa siku kumi. Hapa anzisha uzi wa nani kafanya nini, timu gani inakwenda wapi, Samia ni mzuri si mzuri?........nk!Nani kakuambia kuwa mradi unachelewa?
Time is not on our side. Mradi wa 41b hata ukiwa mbovuTanzania itafaidika sana. fikiria out of box: ajira, wageni, training, na vitu chungu nzima. Hawa negotiators wetu wataka fixed percentage tu ndicho wanachokijua. Hakuna mtu atakayekupa 41 b halafu asione kama anazirudisha. Na Tanzania ni 'a high risk country' kutokana na mabadiliko ya siasa, uvunjaji wa mikataba....etc, watu wanaangalia hayo.Mkuu umeeleza vyema sana. Sasa nini kifanyike.
Nani kakuambia kuwa mradi unachelewa?