abnormal
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 492
- 1,094
Na hiyo ndio hofu yao kuu.kuongezea tu private sector ina run on performance, wanaingia kwenye ushindani. Kama wamezoea kufanya kazi kivivu itawa cost
Na hiyo ndio hofu yao kuu.kuongezea tu private sector ina run on performance, wanaingia kwenye ushindani. Kama wamezoea kufanya kazi kivivu itawa cost
Duuh!!!who knows ni management au wafanyakazi? Mara ngapi jpm kabadilisha management ya badnari and then madudu yaliendelea?
Hii kitu ni chain ndefu sana from top to bottom
sijashikiliwa akili na mtu yoyote, jpm alise hiv alisema vile, ndio aliboresha outcome ilikuwaje?Duuh!!!
Mbona jpm baada ya maboresho aliwaambia wasiingie mikataba na private sector.
Lakini unaonekana akili umeshikiwa na wanasiasa ndio maana unaamini kila unacho ambiwa na wanasiasa.
Hapo bandarini kuna TPA na TRA inaonekana hujui hata nani mwenye matatizo
Mkuu yawezekana unacho kiongea hau kijua ndio maana umeshindwa kujua tatizo la bandari ni management au wafanyakazi na uhakika hata hivyo vingine unavyo visema huvijui.sijashikiliwa akili na mtu yoyote, jpm alise hiv alisema vile, ndio aliboresha outcome ilikuwaje?
Mimi shishabikii private sector, ila tuna alternative nyingine ya ku run bandari more efficient?
Brunei, luxembourg hata north korea inapendeza pia.Halafu tuhamie wapi maalim?
Mwigulu ameandaa dokezo sabili ili tupate angalau hata nauli tu?Maana kutoka hapa Matombo kwa mguu hadi Bujumbura si safari ya kitoto.Brunei, luxembourg hata north korea inapendeza pia.
Nchi hii ikiuzwa bei nzuri kila mmoja anaweza kuambuli pound milioni 1, hizo ni bilioni kadhaa. Zinatosha kabisaMwigulu ameandaa dokezo sabili ili tupate angalau hata nauli tu?Maana kutoka hapa Matombo kwa mguu hadi Bujumbura si safari ya kitoto.
Sema madelu anaweza kutudhulumu pia akatupa teni teni na kutupandisha ester kutupeleka burundiNchi hii ikiuzwa bei nzuri kila mmoja anaweza kuambuli pound milioni 1, hizo ni bilioni kadhaa. Zinatosha kabisa
Hapo sasa kitanuka rasmi.Sema madelu anaweza kutudhulumu pia akatupa teni teni na kutupandisha ester kutupeleka burundi
Wangeanza na uwekezaji kwenye upande wa utawala. Hapa kwetu tatizo kubwa ni utawala. Siku tukipata watawala toka nje ya nchi yetu itaenda vizuri. Ni vizuri tukubali kuwa tumeshindwa kujiongoza.Mkuu lazima tukubali kwamba sisi kuendesha tumeshindwa. Na kushindwa kwetu kunachangiwa na sisi wenyewe kukosa uzalendo wa kusimamia rasilimali tulizo nazo.pili mwekezaji anakuja na teknolojia na fedha of which si kama tungeshindwa lakini tatizo sisi wenyewe bado hatupo tayari.
Kisha hao ndiyo wataamua nani awe Rais na nani asiwe...Hakuna private sector inaweza kuwa na ufanisi ikikabidhiwa mali za umma, private sector always inachowaza nikuiba iwezavyo itengeneze faida kubwa kabla ya mkataba kuisha
Na hapo kwenye faida kubwa ndipo uzaliwa siasa chafu za uendeshaji, rushwa, ukwepaji kodi nk
Ni lini tumewahi kunufaika na madini? Lakini pamoja na kutonufaika unafahamu watanzania wanavyonyanyasika migodini? Wanabanwa si kwa .aslahi ya nchi, wanabanwa kwa maslahi ya mabeberu.
Same applies to DP world investment, tutegemee watu wetu kuwa watumwa huku RAIA wa kigeni wakiishi kama wafalme. Tutegemee sehemu zote za ukwepaji kodi tukiambiwa hakuna mtanzania anaweza kufanya kazi eneo hili watafanya wageni
Tutegemee mafunzo yatakayotolewa kwa watanzania yasiwe na tija kwao ili waweze kupata uncolified individuals kwa kigezo cha kusaka qualified from abroad
Tanzania tunaua nchi yetu kwa kufikiri misaada na kukabidhi mali za umma kwa wageni . Ipo siku tutashindwa kulipa hata salaries za watumishi kwa sababu vyanzo vyote vimeshikwa na wageni