Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

Hizo ndege , hadi watu wake wa jikoni wanazikimbia, na ndo sababu ya yule jamaa wa boeing kuuliwa





Walivyo bongo lala hawa hawajali hata maisha yao! Bloody fools.
 
Ni vema Serikali ikatuweka wazi juu ya usalama wa ndege hizi za Max 9. Mwaka2019 zilipigwa marufuku kuruka kutokana na hitilafu na ndege ya Ethiopia Max 8 na ya Malaysia zilipata ajali kutokana na hitililafu zilizokuwa kwenye ndege hizo. Juzi tu ndege ya Alaska pia ilipata hitilafu. Usalama ni kitu muhimu na hivyo tunataka tuhakikishiwe kuwa aina ya ndege hii ni salama.
 
Back
Top Bottom