Uchaguzi Senegal unatufundisha muunganiko wa Mahakama na nguvu ya umma

Mwambie kabisa kuwa Mdude ni kijana anayejitambua na hawezi kulamba makalio ya wakubwa.
Wengi wanaobeza hapa ni watu wakujipendekeza kama ilivyo kanuni ya CCM kuwa kujipendekeza na kuabudu kwa viongozi ni wajibu.
Hawa wako radhi kuwatoa hata wake zao ili kiongozi wa ccm aburudike na wakajisikia fahari

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
kwamba hapo ndio umetoa hoja nzito sana kwa hekima na busara ya kiwango cha juu sana na kwahivyo uungwe mkono 🐒
 
ukomavu wa akili wa wasenegal ndio ukaufananishe na akili za watanzania? wasenegal wametuacha mbali kiakili.
 
Sasa naamini: ili kuleta mabadiliko ya kisiaa Tanzania inabidi kuwe na elimu na elimu raia. Watanzania wengi wanajua wanateseka lakini hawajui nani anayewatesa na vipi watajinasua. Ukisoma hapa utakuta malalamiko, shutuma nyingi zapewa upinzani ingawaje upinzani hauna madaraka yeyote! Hii ya Senegal haitafika Tanzania hadi 2060!
 
Senegali hakuna machawa people ngoma ngumu nyeusi!!!
Huku Kuna vivlana vingiii vinajua kubeti na kulialia nani kamamama...kaupigamwingii huku havinakazi wala elimu yamaana!! Nosense
 
Back
Top Bottom