Search results

  1. R

    offer maalum kwa ngo

    habari,je una ngo? na unataka kupokea donations online ? kama jibu ni ndio basi umepata suluhisho. ntakuwekea donation tab kwenye web yako ambapo utaweza pokea donations kutoka kwa site visitors. wataweza donate via visa,mastercad,mpesa na tigopesa call 0656313361 for more info
  2. R

    nani ameapply nafasi za andela wakishirikiana na google pamoja na pluralsight

    habari wanajf kuna hizi nafasi za andela ambazo huwa zinatoka kila mwaka ambapo mtu akiipata huwa anakuwa enroled kwenye andela learning comunity baada ya miezi sita wanaofanya vizuri huwa wanakuwa interviewed na andela ,then ukipita unapewa ajira ambapo miezi sita unapewa tena mafunzo zaidi juu...
  3. R

    nimekosa mdhamini anayefanya kazi ucc au udsm

    wakuu kuna nafasi zilitangazwa na ucc za ajira za muda msimu wa sabasaba sharti ni kwamba uwe na mdhamini anayefanya kazi ucc au udsm. nimetafuta weeee nikakosa. mwenye kufanya kazi ucc au udsm au kama unaweza kuniconnect na mtu anayefanya kazi hapo naomba anisaidie please dah kitaa kigumu dah...
  4. R

    Nimeafanikiwa kuintergrate M-Pesa, Tigo Pesa kwenye online store

    Hatimaye nimeweza kuintergate the mobile payment to the online store. Mwenye comment atupie, the site is just for demo. bit.ly/2V5HJSj
  5. R

    gospel music download site

    hellow wana jf kama we ni fans wa gospel music download via this site. listen and enjoy. http://amosafrica.co.tz/
  6. R

    mwenye kuijua hii shule st joseph commercial school tanga

    habari wanjf nimeona sehemu kwamba kuna hii shule tanga ambayo ni nzuri mwenye info zake please je ina hostel na inapatikana tanga sehemu gani na ada zake zikoje thanks in advance
  7. R

    Specified Period Employment terms of Twelve Months Period

    wakuu tanesco wametangaza nafasi za kazi hapa wamemaanisha nin kwa kusema hivi Specified Period Employment terms of Twelve Months Period thanks in advance
  8. R

    talent is evenly distributed, opportunity is not

    talent is evenly distributed, opportunity is not
  9. R

    Nafasi za kazi kuandikisha wapiga kura 2019 zinatoka lini na kutangazwa wapi?

    Habari wana JF Nauliza nafasi za kazi za kuandikisha wapiga kura kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa wanatangaza lini na huwa zinatangazwa wapi Thanks in advance
  10. R

    Kuhusu ATEC Exam ya Bodi ya Uhasibu

    Habari wana JF naomba mnielezee haya maelezo kutoka bodi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu Tanzania MODE OF PAYMENT MAY EXAMINATIONS NOVEMBER EXAMINATIONS Payment with 50% penalty 16th February – 28thFebruary 16th August – 31st August Payment with 100% penalty 1st March – 15th March 1st...
  11. R

    VYUO GANI BADO VINAFANYA ADMISSION KWA MARCH/APRIL INTAKE

    Habari wanajf vyuo gani bado vinatoa admission kwa kozi za afya namaanisha vyou vizuri vya private sio vyuo vya kata thanks in advance
  12. R

    natafuta hizi softwares.

    habari wanajf natafuta software zifuatazo article instant wizard, au article monster mwenye download link ya crack naomba anipe thanks in advance
  13. R

    Tatizo la sauti kwenye laptop

    habari wanajf laptop yangu ina tatizo la sauti yaani haitoi sauti kuanzia kwenye spika hadi kwenye earphone laptop yenyewe ni sony vaio. je nifanyeje what is the possible solution? thanks in advance
  14. R

    Ntapataje kazi ya office attendant ofisi za serikali?

    Habari wanajf natafuta kazi kama office attendant kwenye ofisi za serikali, mwenye connection naomba aniunganishe please mwenye link ya nafasi husika naomba anipatie form four nina division one so kile kigezo cha pass in english swahili and mathematics ninacho maisha yamekuwa magumu mtaani...
  15. R

    SOFTWARE Natengeneza website bure kwa wateja 100 wa mwanzo

    hellow there karibu kwenye offer ya christmass nadesign website for free kwa mashule,ngo,kampuni na wafanyibiashara etc great experise in php,mysql,css,html expect to get high quality website faida za kuwa na website office information will be accessed in 24 hour easy advertising cost your own...
  16. R

    Msimu wa kahawa umefika, i can be your coffee broker

    Hellow JF experts, Msimu wa kahawa umefika huku Lake zone nina access ya kupata kahawa kutoka kwa wakulima wa Kanda ya ziwa, i can be you coffee broker if you want to buy large amount of coffee for roasting and exporting. Kwa wale ambao wako interested contact me 0656313361 Thanks in advance
  17. R

    We provide mobile payment to web intergration services

    do yo need to sell online?do you sell online and you need to reach more customers if yes then continue reading i intergrate the website so that you can accept mobile payments ie mpesa,tigo pesa, airtel money on the web contact me for more info or send me a pm 0656313361
  18. R

    Mwenye kadi ya payooneer

    Habari wana e commerce.... Mwenye kadi ya payoneer naomba anipe experience aliipata vipi maana nimeapply more than three times ila haikuwahi kufika hadi leo hii.........nshaongea na customer care wa payooner.....wanachonambia ni kwamba tutakutumia kadi nyingine.........but huwa...
  19. R

    kwa wnaohitaji online accounting software

    online accounting software............ it has the following features sales accounts receivable accounts payable purchases inventory manufacturing petty cash asset manager general ledger all acivities can be handled online see demo pics contacts us 0654262419
  20. R

    online advertisers/bloggers wa bongo mnatumia method gani kureceive payments

    habari, naombeni kujuzwa kwa wale wanaojihusisha na online advertisements from google adsense and other affilate marketing networks...........njia gani mnatumia kupokea mkwanja dont recommend me to go on google documentations because i need to get the answer from jf
Back
Top Bottom