Nafasi za kazi kuandikisha wapiga kura 2019 zinatoka lini na kutangazwa wapi?

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
376
125
Habari wana JF

Nauliza nafasi za kazi za kuandikisha wapiga kura kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa wanatangaza lini na huwa zinatangazwa wapi

Thanks in advance
 
wapiga kura serikali za mitaa huandikishwa wiki moja kabla ya uchaguzi. wanaofanya zoezi hilo ni walimu.
 
Cheza na Ofisi ya mtendaji wa kata,hua azitangazwagwi sana izo nafasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom