Mwenye kadi ya payooneer

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
388
129
Habari wana e commerce....

Mwenye kadi ya payoneer naomba anipe experience aliipata vipi maana nimeapply more than three times ila haikuwahi kufika hadi leo hii.........nshaongea na customer care wa payooner.....wanachonambia ni kwamba tutakutumia kadi nyingine.........but huwa hazifiki........naomba experience yako uliipata baada ya muda gani?......na kweli ATM za kibongo haziimezi moja kwa moja?......

Thanks in advance
 
Last edited by a moderator:
Mimi ilichelewa sana ila niliipata ili mradi address uliyo wapa ni sahihi na ATM haziimezi
 
mimi pia ninawasiwasi naogopa kuapply manake kadi zisizokuwa na chip zinamezwa sana na atm nyingi especially za international electronic logos visa mastercard etc.ni hatari kwa eskim..-though sijaanza kupokea malipo via paypal.natafuta bank inayolink 1 kwa 1 malipo yanaingia bank.equity kenya inafanyaivo.cjajua tz kama walishaondolewa barriers za money laundering.
-natumia barclays tz.inafanya ivo ila cjafatilia kwa tz kama wanaiyo hudumac ya kuaccept payment 1 kwa 1 via paypal.stanbic nayo nilisikia.mwenye experience na ujuzi zaidi tadhali
 
Me ilichelewa mpaka ikapotea, nikaawambia wanitumie kwa DHL! Ikaja fasta! Tumia DHL, shipping cost ilkuwa kama tzs 60,000 mwaka jana mwanzoni!
 
mimi pia ninawasiwasi naogopa kuapply manake kadi zisizokuwa na chip zinamezwa sana na atm nyingi especially za international electronic logos visa mastercard etc.ni hatari kwa eskim..-though sijaanza kupokea malipo via paypal.natafuta bank inayolink 1 kwa 1 malipo yanaingia bank.equity kenya inafanyaivo.cjajua tz kama walishaondolewa barriers za money laundering.
-natumia barclays tz.inafanya ivo ila cjafatilia kwa tz kama wanaiyo hudumac ya kuaccept payment 1 kwa 1 via paypal.stanbic nayo nilisikia.mwenye experience na ujuzi zaidi tadhali
hili tattizo la paypal kuzuia upokeaji wa hela kwa benk za tanzania inabidi litatuliwe kipindi hiki cha magufuli yupo madarakani............................mi mwenyewe nimekuwa nkikosa dili nyingi sababu ya paypal.......
 
Habari wana e commerce....

Mwenye kadi ya payoneer naomba anipe experience aliipata vipi maana nimeapply more than three times ila haikuwahi kufika hadi leo hii.........nshaongea na customer care wa payooner.....wanachonambia ni kwamba tutakutumia kadi nyingine.........but huwa hazifiki........naomba experience yako uliipata baada ya muda gani?......na kweli ATM za kibongo haziimezi moja kwa moja?......

Thanks in advance
Samahani mkuu, with payoneer unaweza kupokea malipo kutoka nje ya nchi?
 
Mngetoa ufafanuzi hiyo kadi ni kitu gani? Msiishi maisha kuassume kuwa kila mtu anajua kila kitu humu
 
Back
Top Bottom