online advertisers/bloggers wa bongo mnatumia method gani kureceive payments

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
376
125
habari,
naombeni kujuzwa kwa wale wanaojihusisha na online advertisements from google adsense and other affilate marketing networks...........njia gani mnatumia kupokea mkwanja
dont recommend me to go on google documentations because i need to get the answer from jf
 
Ngoja na mid nisubirie jibu hapa hapa maana nilikuwa nataka kujua long time uliopita ?!:D:D
 
Kwa Google adsense, njia rahisi ni Western Union

Wakati huu ambapo dollar iko juu utapokea hela nyingi kama mvua

Anayehitaji Adsense tuwasiliane kwa PM
 
habari,
naombeni kujuzwa kwa wale wanaojihusisha na online advertisements from google adsense and other affilate marketing networks...........njia gani mnatumia kupokea mkwanja
dont recommend me to go on google documentations because i need to get the answer from jf

Njia Bomba ni Western Iko Vizuri na Kodi si Kubwa ni asilimia 3 ya pesa yako kama sijakosea... Wire Transefer inadepend na Benk kuna Benk kama DTB wakaa mpk laki nne kwa million tatu....
 
Njia Bomba ni Western Iko Vizuri na Kodi si Kubwa ni asilimia 3 ya pesa yako kama sijakosea... Wire Transefer inadepend na Benk kuna Benk kama DTB wakaa mpk laki nne kwa million tatu....
thanks mkuu......vipi direct deposit na wire transfer ni kitu kile kile?
 
thanks mkuu......vipi direct deposit na wire transfer ni kitu kile kile?

Wire Transfer ni Unaweka Account yako ya Benk ambayo ndio nilikwambia ina makato...Direct Deposit kama sijakosea itakuwa ni Check ambayo unaendea kutoa kwenye Agent wa Money Gram anayechaji karibu asilimia 60 ya pesa yako mfano unaweza kutumiwa dola 100 kwa check ya benk yao ila ukija huku lazima uende kwa agent wa Money gram alafu ukapewa dola 40 tu hii ni mbaya zaidi
 
Direct deposit ni tofauti na check! Direct deposit huwa wanaumia sana watu wa America na UK but for African countries na Asia huwa wanapendelea sana wire transfer huwa inafanana na direct deposit Ila hii kuna makato kidogo!! But check huwa ni njia nzur sema ni ya usumbufu coz huwa inachelewa sana kupata pesa yako mpka bank yako wamalize clearance na bank husika ndo utapata pesa yako!
 
Mm huwa napenda sana kutumia payoneer hii ni card ambayo unapewa baada ya kufungua account online na hawa huwa wanatoa virtual american account ambayo itakuruhus kupata pesa yako kutoka kwa kampuni yyote ya kimataifa then unapata pesa yako kwenye ATM yyote inayokubali master card. Kwa maelezo zaid tembelea website yao kupitia link hii na utaweza kupat bonus ya $25 kwa link hii http://share.payoneer-affiliates.com/v2/share/6197459026116027117
 
Mkuu AdSense siku hzi kukubaliwa ni ngumu sana labda ujaribu njia zingine kama Affiliate Mrketing
 
Back
Top Bottom