Kuhusu ATEC Exam ya Bodi ya Uhasibu

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
376
125
Habari wana JF naomba mnielezee haya maelezo kutoka bodi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu Tanzania
MODE OF PAYMENT
MAY EXAMINATIONS
NOVEMBER
EXAMINATIONS

Payment with 50% penalty
16th February – 28thFebruary
16th August
– 31st August
Payment with 100% penalty
1st March – 15th March
1st September
– 15thSeptember

Anaposema payment with 100% penalty anamaanisha nini?

Thanks in advance
 
Anamaanisha yakuwa kama gharama Ni laki 400k mfano katika hiyo atec 1basi ukichelewa kulipia hizo gharama ndani ya mda walioupanga basi utapigwa penalty na 100% inamaana yakuwa badala ya kulipa 400k wew utatakiwa kulipa 800k.... Usichanganyikiwe na maelezo ya penalty unachotakiwa kufanya Ni kulipia gharama za mitihan ndani ya mda ama tarehe tajwa na board kwa uzoefu wangu huwa wanatoa kati ya mwezi mmoja hadi miezi miwili baada ya hapo utapigwa penalty kwa kuchelewa kulipia hizo gharama za mitihan... Kama hujanielewa uliza nitarudi kukuelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malipo ya mitihani ya board ipo kama ifuatavyo

Bila penalty: ni muda wowote ila deadline ni 15 february. Yaani hapa kama ada ya mtihani mmoja ni 50,000/= basi unatakiwa uilipe hiyo pesa kabla ya tar 15 feb, baada ya hapo unalipa kwa penarty ya 50% yaani kuanzia 16 feb unatakiwa ulipe 75,000/=.(50,000+25000)/= na hapa ni kuanzia 16febr -15 march. Baada ya tarehe hiyo yaani kuanzia tar 16 march utalipia 100%. yaani 100,000/= (50,000+50,000) na hapa ni kuanzia march 16 hadi april. Na baada ya hapo hakuna fee itakayo pokelewa.

Sijui nimejibu. Kama una swali zaidi uliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deadline ya Examination fee ni 15 Feb na 15 Aug for may and Nov respectively.
Kuanzia 16feb - 28 Feb na 16aug - 31 Aug ni penalty ya 50%.
Na hii penalty inahusisha examination fee tu ila form fee na subscription fee hakuna penalty.
Mfano: form fee ni 20,000 , subscription fee 50,000 na examination fee ni 100,000
Kwahiyo ukilipa kabla ya 15feb utalipa 170,000
Ukilipa kati ya 16feb na 28feb form fee itabaki 20,000 subscription fee itabaki 2
50,000 ila examination fee itakuwa 150,000 hivyo jumla itakuwa 220 000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thanks wadau so nkitaka kulipia sasa hivi penalty ni 100% sio? for may examination.
 
Deadline ya Examination fee ni 15 Feb na 15 Aug for may and Nov respectively.
Kuanzia 16feb - 28 Feb na 16aug - 31 Aug ni penalty ya 50%.
Na hii penalty inahusisha examination fee tu ila form fee na subscription fee hakuna penalty.
Mfano: form fee ni 20,000 , subscription fee 50,000 na examination fee ni 100,000
Kwahiyo ukilipa kabla ya 15feb utalipa 170,000
Ukilipa kati ya 16feb na 28feb form fee itabaki 20,000 subscription fee itabaki 2
50,000 ila examination fee itakuwa 150,000 hivyo jumla itakuwa 220 000

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimeenda bodi wamenambia penalty inakatwa kwenye registration fee yaani baada ya 25,000 nalipa 50000. na vile examination fee badala ya 100,000 nalipa 200000 subscription fee 35000 inabaki vile vile. na form fee inabaki vile vile 20000.
so natakiwa kulipa exam fee 200000
reg fee 50000
subscription fee 35000
form fee 20000

total 305000 tshs



hapo sijui tuition providers wanachaji shi ngapi naomba mnijuze tuition providers wazuri
 
according to my research tuition best tuition providers in town ni cornerstone. nimewapigia simu amepokea dada mmoja mwenye sauti nzuri jumatatu naanza michakato
 
Back
Top Bottom