Tatizo la sauti kwenye laptop

Tatizo la sauti kwenye laptop

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
habari wanajf laptop yangu ina tatizo la sauti yaani haitoi sauti kuanzia kwenye spika hadi kwenye earphone
laptop yenyewe ni sony vaio. je nifanyeje
what is the possible solution?
thanks in advance
 
Tafuta usb Sound card. Sound card yake ya ndani imekufa.
Andaa kuanzia sh. Elfu 10

Push to Start
 
Ya kwangu imenipata na tatizo hill hata nikichomeka earphones ila sehemu yaongezea sauti pamefunga kila nikipagusa kupandisha sauti panasema NO speakers or headphones are plugged in.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni driver tuh boss kaziupdate itakaa sawa.
 
Tafuta usb Sound card. Sound card yake ya ndani imekufa.
Andaa kuanzia sh. Elfu 10

Push to Start
je kuna uwezekano wa kununua sound card ya ndani? coz usb sound card nilishawahi kuwa nayo ilistop ghafla
 
Ulinunua low quality. Ziponzuri madukani. Hakunaga Ya ndani ya kununua. Labda kama fundi anaweza fanya ujanja kuifufua hiyo
je kuna uwezekano wa kununua sound card ya ndani? coz usb sound card nilishawahi kuwa nayo ilistop ghafla

Push to Start
 
Tafuta usb Sound card. Sound card yake ya ndani imekufa.
Andaa kuanzia sh. Elfu 10

Push to Start
hivi Kama sound card ya laptop imekufa nikitumia USB sound card Kuna uwezekano speaker za laptop zikatoa sauti?
 
Back
Top Bottom