Search results

  1. Mr Antidote

    Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Ukishaingia kwenye utumishi wa serikali kutoka taasisi moja kwenda nyingine ni utatakiwa kuandika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia taasisi unayoitaka na barua yako inatakiwa ipitie kwa Muajiri wako ambae ni Afisa Masuuli au Accounting Officer kwa kimombo. Akienda kufanya hiyo interview hata...
  2. Mr Antidote

    Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi

    Wakuu Saluti, Ngoja niwape experience yangu ya Kilimo cha Mahindi Mkoa wa Ruvuma kwa Wilaya ya Mbinga. 1. Kukodi shamba 50,000 - 100,000 inategemea mahali na mahusiano na mwenye shamba. 2. Kulima kwa trekta 60,000, Kwa kutumia vibarua ni kadiri ya makubaliano lakini ni kuanzia 45,000 hadi...
  3. Mr Antidote

    Wazo la biashara la milion moja na laki nane

    Kitu nilichojifunza kwenye ujasilia mali na biashara kwa ujumla ni unatakiwa kufanya attempts kadhaa ndipo ufanikiwe. Sasa inapotokea una mtaji wa ngama aiseee ni changamoto maana huo mtaji hauwezi kusurvive kwasababu hauna backup ya hicho unachokifanya. Swali la msingi je wewe mwenyewe...
  4. Mr Antidote

    Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking nachokiexperience sio nilichokidhania

    It's all abt passion. Wewe kuna a motive behind ambayo inaku-stress ufanye hiyo hacking. After all unapaswa kuwa very smart unapotaka kuwa hacker. Sio kila mtu anaweza kuwa hacker. It takes a dedication and commitment kuwa hacker. Pia unapaswa kuwa na resources za kufanyia hizo hacking and it's...
  5. Mr Antidote

    Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

    Ni pale tu HR atakapokuingiza kwenye system ya makato. Yani HR wa taasisi husika ndio anayemuingiza mdaiwa kwenye mfumo wowote wa makato. Hivyo yeye akiuchuna hutakatwa. Kwa hiyo kuanza kukatwa itategemea ni lini HR amaekuingiza kwenye system hiyo. Japo wakigundulika hawajafanya hivyo na taarifa...
  6. Mr Antidote

    Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

    PAYE - Pay As You Earn. Ukielewa hapo utaelewa nilichokiandika halafu wakati mwingine tumia muda wako kujifunza. Ungeenda hata ukurasa wa TRA kwenye hiyo PAYE calculator ungejifunza kitu. Mwishoni nimeweka na NB. Ungeisoma kwa kwa utaratibu ungepata maarifa zaidi. Wewe kama una salary slip...
  7. Mr Antidote

    Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

    Sio sahihi. PAYE haikatwi kwenye basic salary. Inakatwa kwenye net ya kilichobaki baada ya makato mengineyo. Usahihi ni huu hapa. Kama yupo private: NSSF = 10% X 1,040,000 = 104,000 Kama ni Public: PSSF = 5% × 1,040,000 = 52,000 NHIF = 3% × 1,040,000 = 31,200 HESLB = 15% × 1,040,000 =...
  8. Mr Antidote

    Karibuni Songea

    Yeah Chanta Buli imefunguliwa, almost miez miwili sasa tayari au inakaribia.
  9. Mr Antidote

    Karibuni Songea

    Mkuu wewe endelea kudiasporika huko abroad sisi tupo na tunawatumikia huku ndugu zako Wamatengo na maisha yanaendelea. Mdaka 5 kwasasa ndie Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbinga, Vijana wa kiume wawili wa Andoya ni madiwani wa CCM Halmashauri ya Mji wa Mbinga. Na kwasasa kuna Halmashauri 2...
  10. Mr Antidote

    Karibuni Songea

    Kigonsera haipo Songea ipo Wilaya ya Mbinga.
  11. Mr Antidote

    Karibuni Songea

    Achana na La Chalz, kiwanja kinachobamba siku za hivi karibuni ni Chanta BuL hapo bomba mbili, njiani kabisaaa.
  12. Mr Antidote

    Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Mkuu mimi sijawahi na ndio maana nimejikita kuuliza wanafungwa gereza la jinsia ipi? Kama una maelezo ya ziada ungeyamwaga kwa faida ya wengine. Ila hiyo idea ya kuhamishwa na kuuliwa baada haijanishawishi maana katika hicho kipindi si watakua wanaendeleza hiyo tabia?
  13. Mr Antidote

    Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Mkuu huo mwaka mwaka anaoishi anapelekwa gereza la watu wa jinsia ipi? Si watu wataendelea kujipigia mwaka mwaka kila gereza analohamishiwa?
  14. Mr Antidote

    Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Sasa mkuu, huyu anaebinjuliwa atafungwa gereza la watu wenye jinsia gani? Maana naona kama ni shughuli ile ile huko aendapo kupumzika maisha.
  15. Mr Antidote

    Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

    Mashamba yapo na yanauzwa sasa bei inategemea na location from center au main road. Ila bei ni kuanzia 100,000/= hadi 300,000/= kwa hekari.
  16. Mr Antidote

    Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Kuna huyu Albino aaah nyie napata utu na utulivu. Mkisikia nimeingia kwenye mtego wa ndoa ni huyu albino ninae-mdate sasa hivi. I just find my heart and myself at peace. Na ni karembo haswaaaaa. Kama nimuweke jamvini. Nyie nyie nyie [emoji23][emoji23][emoji23]
  17. Mr Antidote

    Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

    Yani hofu iliyopo hakuna timu unaitazama inaweza kuifunga Yanga hata simba yenyewe labda itokee kudra tu. Sasa kama wewe upo nafasi ya pili huna uwakika w kuifunga yanga unapata picha gani kwa waliobaki?
  18. Mr Antidote

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Jazia nyama nyama mkuu tujue shida ni nini maana hapa tayari nina ramani mkononi 2023 ikianza nijilipue
  19. Mr Antidote

    Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

    Nunua gari la ndoto yako acha uoga mkuu hakuna gari inayokunywa supu. Huu ushauri unawatia watu sana uoga wa kununua magari mazuri.
Back
Top Bottom