Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane

Faida ya Gari

1.Hurahisisha mambo
2.Huokoa muda
3.Hukupatia sifa mbele ya watu.
4.Hukueshimisha mbele ya watu.
5.Hukupatia kiburi na majivuno
6.Unaweza kuifanya kitega uchumi.
7.waweza chukulia mkopo.

Hasara za Gari

1.Hukupotezea muda
2.Hukupotezea pesa
3.Inafanya uhai wako kuwa hatarini.
4.Hukupatia kiburi na kudharau watu.
5.Hukufanya kuwa mvivu(Huleta mtumbo na mkitambi).
6.Hukuongezea matumizi.
7.Inakuongezea uadui kwa Askari na watu.
8.Kuweza kuungua na kubaki unalia kama mwehu.
9.Huongeza wezi,vibaka na majambazi.

Faida za Nyumba.

1.Hukuheshima.
2.Kukukinga na vipindi vya hali ya hewa(Jua & Mvua).
3.Ni urithi wa kudumu.
4.Hukuokolea pesa
5.Hukupunguzia matumizi
6.Hukuepushia kelele za kodi
7.Itakufanya kuwa na akili zaidi ya kusevu.
8.Unaweza kuibadili kuwa kitega uchumi.
9.Unaweza kuchukulia mkopo na kufanya biashara.
10.Hukukinga na vibaka,wezi na majambazi.
11.Hukukinga na umasikini(Ukilala njaa hakuna atakaye jua)

Hasara za Nyumba.

1.Hukuongezea matumizi(Bill ya maji,umeme,repairment n.k)
2.Kuhatarisha maisha(Endapo ikiungua)
3.Huongeza uadui (Majirani wakorofi)

Hapo ndipo sasa utaamua wewe,kipi kwako ni kipaumbele!.

Kwangu mimi Umughaka Nyumba ndiyo first Priority!.
 
Kwa haraka haraka naona nyumba inafaida nyingi kuliko hasara
 
Ninachokiona mm umasikini ndio unasumbua wengi wanaoshabikia gari nikwasababu hawakuyakuta kwenye familia zao na walikuwa Kwa shida hivyo starehe walizotakiwa wazifanye wakiwa wanasoma huko za kubebea mademu,pombe wao wanawaza wakiwa wameanza maisha rasmi
Kwaiyo kukiwa na magari kwenu na yameshachakaa unafanyaje sasa na ushakuwa mtu mzima? Unajenga au unanunua gari?
 
Kama una kipato cha kutosha angalau kujaza mafuta na kufanya service, vuta ndinga kwani itakurahisishia mambo yako..........ujenzi unahitaji maandalizi na unaweza kuufanya kwa hatua kadhaa kadri unapopata gepu la pesa.
 
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane

Faida ya Gari

1.Hurahisisha mambo
2.Huokoa muda
3.Hukupatia sifa mbele ya watu.
4.Hukueshimisha mbele ya watu.
5.Hukupatia kiburi na majivuno
6.Unaweza kuifanya kitega uchumi.
7.waweza chukulia mkopo.

Hasara za Gari

1.Hukupotezea muda
2.Hukupotezea pesa
3.Inafanya uhai wako kuwa hatarini.
4.Hukupatia kiburi na kudharau watu.
5.Hukufanya kuwa mvivu(Huleta mtumbo na mkitambi).
6.Hukuongezea matumizi.
7.Inakuongezea uadui kwa Askari na watu.
8.Kuweza kuungua na kubaki unalia kama mwehu.
9.Huongeza wezi,vibaka na majambazi.

Faida za Nyumba.

1.Hukuheshima.
2.Kukukinga na vipindi vya hali ya hewa(Jua & Mvua).
3.Ni urithi wa kudumu.
4.Hukuokolea pesa
5.Hukupunguzia matumizi
6.Hukuepushia kelele za kodi
7.Itakufanya kuwa na akili zaidi ya kusevu.
8.Unaweza kuibadili kuwa kitega uchumi.
9.Unaweza kuchukulia mkopo na kufanya biashara.
10.Hukukinga na vibaka,wezi na majambazi.
11.Hukukinga na umasikini(Ukilala njaa hakuna atakaye jua)

Hasara za Nyumba.

1.Hukuongezea matumizi(Bill ya maji,umeme,repairment n.k)
2.Kuhatarisha maisha(Endapo ikiungua)
3.Huongeza uadui (Majirani wakorofi)

Hapo ndipo sasa utaamua wewe,kipi kwako ni kipaumbele!.

Kwangu mimi Umughaka Nyumba ndiyo first Priority!.
Hasara kuu ya nyumba inayo nigharimu mimi HAIHAMISHIKI ila naona ni much better kuliko hasara za gari ya kutembelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na wengi waliosema gari kwanza. Nyumba kwani kuna mtu analala nje.
 
Kama uchumi wako ni WA kawaida na gari Lako ninla kwanza huwa nashauri watu wanunue vigari vidogo visivyotumia mafuta mengi halafu uwe Una upgrade Magari makubwa taratibu!

Kama Uchumi wako ni WA kawaida ukianza na Magari makubwa utajuta
Nunua gari la ndoto yako acha uoga mkuu hakuna gari inayokunywa supu.

Huu ushauri unawatia watu sana uoga wa kununua magari mazuri.
 
Haya mambo hayana formula wewe fanya unavyopenda

Kuna ndugu yangu mmoja alianza kujenga nyumba baadae akanunua gari

Baadae biashara yake ikayumba sana akafunga biashara akauza gari kabaki na nyumba

Sasa hivi anaendesha boda boda ya mkataba lakini nyumba anayo familia hailali nje
 
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane

Faida ya Gari

1.Hurahisisha mambo
2.Huokoa muda
3.Hukupatia sifa mbele ya watu.
4.Hukueshimisha mbele ya watu.
5.Hukupatia kiburi na majivuno
6.Unaweza kuifanya kitega uchumi.
7.waweza chukulia mkopo.

Hasara za Gari

1.Hukupotezea muda
2.Hukupotezea pesa
3.Inafanya uhai wako kuwa hatarini.
4.Hukupatia kiburi na kudharau watu.
5.Hukufanya kuwa mvivu(Huleta mtumbo na mkitambi).
6.Hukuongezea matumizi.
7.Inakuongezea uadui kwa Askari na watu.
8.Kuweza kuungua na kubaki unalia kama mwehu.
9.Huongeza wezi,vibaka na majambazi.

Faida za Nyumba.

1.Hukuheshima.
2.Kukukinga na vipindi vya hali ya hewa(Jua & Mvua).
3.Ni urithi wa kudumu.
4.Hukuokolea pesa
5.Hukupunguzia matumizi
6.Hukuepushia kelele za kodi
7.Itakufanya kuwa na akili zaidi ya kusevu.
8.Unaweza kuibadili kuwa kitega uchumi.
9.Unaweza kuchukulia mkopo na kufanya biashara.
10.Hukukinga na vibaka,wezi na majambazi.
11.Hukukinga na umasikini(Ukilala njaa hakuna atakaye jua)

Hasara za Nyumba.

1.Hukuongezea matumizi(Bill ya maji,umeme,repairment n.k)
2.Kuhatarisha maisha(Endapo ikiungua)
3.Huongeza uadui (Majirani wakorofi)

Hapo ndipo sasa utaamua wewe,kipi kwako ni kipaumbele!.

Kwangu mimi Umughaka Nyumba ndiyo first Priority!.
Niko bunju Mkuu njoo tule kiti moto.

Mimi nyumba ndio kila kitu ten animeweka geti rangi nyekundu na lama ya ☠️ na maneno HATARI.

Eliud Bunju UMUGHAKA
 
Back
Top Bottom