Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

Hakika Rais Museveni hatanii kabisa na GENTAMYCINE nampongeza kwa Kuisaini na namwomba Rais Samia ( wa Tanzania ) nae asaini kama imeshaandaliwa ili Mashoga ( Wapenzi wa Jinsia ) moja Wakamatwe na Wafungwe Kifungo cha Maisha kwani hali ni mbaya na idadi yao inaongezeka.

Cc: Kinengunengu
Sasa mkuu, huyu anaebinjuliwa atafungwa gereza la watu wenye jinsia gani? Maana naona kama ni shughuli ile ile huko aendapo kupumzika maisha.
 
Tulinde watoto wetu na vizazi vijavyo. Kataa ushoga
20230509_070216.jpg
 
Sasa mkuu, huyu anaebinjuliwa atafungwa gereza la watu wenye jinsia gani? Maana naona kama ni shughuli ile ile huko aendapo kupumzika maisha.
kama ulishawahi kuwatembelea au kujua hawa watu waliofungwa kifungo cha maisha huwa wanafanywa nini wala usingeuliza hilo.

hapo ni kwamba unafungwa kifungo cha maisha then unakuwa unaamishwa amishwa kwenye magereza toauti baada ya mwaka au miaka miwili unapigwa tu sumu au kitanzi then unazikwa na manispaa kama mzogo shughul yako inaishia hapo
 
Mkuu huo mwaka mwaka anaoishi anapelekwa gereza la watu wa jinsia ipi? Si watu wataendelea kujipigia mwaka mwaka kila gereza analohamishiwa?
 
Mtaalam huo mwaka mwaka unaoishi unapelekwa gereza la watu wa jinsia ipi? Si watu wataendelea kujipigi pigia mwaka mwaka kila gereza analohamishiwa?
ndo maana kabla ya kusema hayo nimekuuliza ulishawahi kutembelea wafungwa au kuwaona wafungwa walofungwa kifungo cha maisha jela?
 
Mimi naona ushoga sio tatizo,ila linakuzwa tu,tuna matatizo makubwa kama nchi,mfano huduma mbovu za jamii,kuna rushwa iliyokithiri ndani ya nchi,kuna wananchi Milo mitatu kwao ni shida ,hayo ndo mambo mama Samia anapaswa kushughulika nayo,ushoga ni utashi wa mtu,mtu anaamua autumie vipi mwili wake sis raia tuumie!!!?,

Wabunge watakuwa wamekosa kazi kuanza kujadili ushoga ili hali kama nchi tuna matatizo makubwa ambayo hayalingani na huo ushoga ambao watu wanataka utungiwe sheria kali

Sidhani kama kuna watu wamewahi kukosa dawa hospitalini sababu ya ushoga ,ila kuna watu wanapata huduma mbovu mahospitalini kwa sababu ya rushwa na viongiongozi wabovu,hawa ndo watungiwe sheria kali
 
ndo maana kabla ya kusema hayo nimekuuliza ulishawahi kutembelea wafungwa au kuwaona wafungwa walofungwa kifungo cha maisha jela?
Mkuu mimi sijawahi na ndio maana nimejikita kuuliza wanafungwa gereza la jinsia ipi? Kama una maelezo ya ziada ungeyamwaga kwa faida ya wengine. Ila hiyo idea ya kuhamishwa na kuuliwa baada haijanishawishi maana katika hicho kipindi si watakua wanaendeleza hiyo tabia?
 
Hii ikizuiwa nitakata Rufaa upesi mno.
Sasa kuna tofauti gani kati ya kumuingilia kinyume na maumbile mwanamke na kumfanyia uliwati mwanaume? Unapinga dhambi moja kisha unaikubali hapo hapo🫤🫤🫤

Aisee huu unafki sijui utatufikisha wapi🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️

#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE📣📣📣
#KATAA USHOGA📣📣📣
#KATAA UBASHA📣📣📣
#KATAA USHIRIKINA📣📣📣
#KATAA UONGO📣📣📣
#KATAA UNAFKI📣📣📣
 
Mkuu mimi sijawahi na ndio maana nimejikita kuuliza wanafungwa gereza la jinsia ipi? Kama una maelezo ya ziada ungeyamwaga kwa faida ya wengine. Ila hiyo idea ya kuhamishwa na kuuliwa baada haijanishawishi maana katika hicho kipindi si watakua wanaendeleza hiyo tabia?
Basi katika gereza hakuna wafungwa wenye ulinzi mkali kama wale wanaofungwa kifungo cha maisha au wale wanaosubiria adhabu ya kunyongwa.

Hawa huwa na sehemu yao maalum na hata mavazi yao ni tofauti kidogo na wafungwa wa kawaida na huwa wako monitored 24/7 na hata askari anayewalinda au anayekuwa nao anawalinda huwa habebi silaha yoyote na wala wafungwa hawavai kitu chochote cha chuma au hatari even mkanda.

wangekuwa wafungwa wa kawaida wa miaka miwili au zaidi sawa ila kwa mfungwa wa kifungo cha maisha hyo chance hapati.
 
Back
Top Bottom