Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

IMG_7790.jpg
 
Huko juu uko sahihi ila kwenye PAYEE ndo umepuyanga.

Hawakokotoi hivyo, uwe na mshahara wa 1.04 M kisha ulipe kodi 65k, hiyo haipo.

Mwenye basic salary 900K+ PAYEE analipa kuanzia 100K +, sasa wewe uwe na basic 1.04M ulipe PAYEE 65K?, acheni kudanganya watu.

Ukibisha njoo na salary slip ya mwaka huu ukionesha basic salary na PAYEE inayokatwa tokea kwenye hiyo salary slip yako.
PAYE - Pay As You Earn.
Ukielewa hapo utaelewa nilichokiandika halafu wakati mwingine tumia muda wako kujifunza. Ungeenda hata ukurasa wa TRA kwenye hiyo PAYE calculator ungejifunza kitu.

Mwishoni nimeweka na NB. Ungeisoma kwa kwa utaratibu ungepata maarifa zaidi.

Wewe kama una salary slip weka ili usaidike.
 
Kwani bodi ya mkopo huwa wanaanza kukat baada ya muda gani??
Ni pale tu HR atakapokuingiza kwenye system ya makato. Yani HR wa taasisi husika ndio anayemuingiza mdaiwa kwenye mfumo wowote wa makato. Hivyo yeye akiuchuna hutakatwa. Kwa hiyo kuanza kukatwa itategemea ni lini HR amaekuingiza kwenye system hiyo. Japo wakigundulika hawajafanya hivyo na taarifa za wadaiwa wanazo ni tatizo kwa taasisi.
 
PAYE - Pay As You Earn.
Ukielewa hapo utaelewa nilichokiandika halafu wakati mwingine tumia muda wako kujifunza. Ungeenda hata ukurasa wa TRA kwenye hiyo PAYE calculator ungejifunza kitu.

Mwishoni nimeweka na NB. Ungeisoma kwa kwa utaratibu ungepata maarifa zaidi.

Wewe kama una salary slip weka ili usaidike.
Sihitaji kubishana maana nimeandika nikijuacho kivitendo.

Ngoja aanze ajira kisha mshahara wake ukitoka aje atuambie kama PAYE atakuwa amekatwa 65k+ ya kwako au 100k+ niliyosema mimi.
 
Huko juu uko sahihi ila kwenye PAYEE ndo umepuyanga.

Hawakokotoi hivyo, uwe na mshahara wa 1.04 M kisha ulipe kodi 65k, hiyo haipo.

Mwenye basic salary 900K+ PAYEE analipa kuanzia 100K +, sasa wewe uwe na basic 1.04M ulipe PAYEE 65K?, acheni kudanganya watu.

Ukibisha njoo na salary slip ya mwaka huu ukionesha basic salary na PAYEE inayokatwa tokea kwenye hiyo salary slip yako.

Ni kweli PAYEE. ndo inamaumivu kuliko makato yote

Mi nalipa PAYEE laki nne uko roho inauma ila ndo ivo
 
Huu ni uongo.
Je watu wote wanadaiwa na HESLB?
Je watu wote wanajiunga na vyama vya wafanyakazi?

Muulizaji kwa mshahara wa Tsh1,040,000/= take home haipungui Tsh830,000/=
Huo ni Mshahara wa degree, Afya wa vyovyote lazima atakuwa na Deni la HESLB.

Vyama vya wafanyakazi ni mradi wa machawa wa CCM.

Ujiunge au usijiunhe ujue UTAKATWA tu. Na anayekata ni Mwajiri wako kuwapa hao vyama.
 
Degree zote au? Madaktar je makato yao yapoje?
 
Umesoma heading yake au unakurupuka kujibu ambacho haujaelewa?, hapo ambacho hajauliza ila nimekiongeza ni chama cha wafanyakazi pekee ambacho makato ni 2% au chini ya hapo kidogo kutegemea chama alichopo.

Hebu niambie kitu gani nimedanganya hapo?
Nadhan Kwa nssf ni 10% Sasa hiyo 5% nadhani ni psssf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom