Search results

  1. Miss Mamu

    Rev. Adam Haji Mohammed, Kiongozi wa dini ya Al Hayyat Outreach Ministry

    Cha ajabu hawa wanaojidai kuingia katika ukristo hawako tayari kuzungumza live na waislam kwa sababu wanajijua ni waongo hawaujui uislam labda wawadanganye wakristo tu. Kwa upande mwengine wanaoingia katika uislam huwa wako tayari kujadiliana na wakristo kwa vile wanaujua ukristo na waliuacha...
  2. Miss Mamu

    Rev. Adam Haji Mohammed, Kiongozi wa dini ya Al Hayyat Outreach Ministry

    Ulijuae kama anaijua vizuri qur an wakati wewe huijui?
  3. Miss Mamu

    Ndugu zangu naomba ufafanuzi, Hivi ndivyo inavyopaswa Kuwa?

    Ndugu yangu dini ya uislam haingalii mtu anafanya nini lakini mafundisho ya dini yanasemaje ambayo ni Quran na hadithi tu, Kwa hiyo hata akiwa imamu wa msikiti ikiwa anayoyafanya ni kinyume na quran na hadithi huwa anafanya makosa. Hayo mavazi yake huyo dada hayaamaanishi kuwa yupo sahihi kwa...
  4. Miss Mamu

    Samahani, hivi hii lugha ya kiarabu haiwezi kubadilishwa?

    Ndugu elewakuwa katika lugha yoyote kuna lugha kuu na lahaja zake,mfano unaposema Kiswahli, kuna kipemba, kimakunduchi, kitumbatu, kiunguja mjini, hata Tanganyika kuna Kiswahili chake,kenya chake, na inawezekana kama upo Tanganyika mpemba akingumza Kiswahili hupati kitu japo na wewe unakizungmza...
  5. Miss Mamu

    Serikali: Tanzania haina haki miliki ya jina la Mlima Kilimanjaro

    Naamini sana maneno yako hata wageni wengi wanafahamu mlima Kilimanjaro upo Kenya mimi binafsi nimewahi kuishi katika nchi mbili za wazungu lakini nikiwaambia mlima Kilimanjaro upo Tanzania wanashangaa sana wala hawakubali kwa sababu wanasoma katika vitabu kuwa mt. Kilimanjaro upo kenya...
  6. Miss Mamu

    Hawa jamaa wanatisha

    Uislam hauamrishi mauaji wala ukatili ni dini pekee inayojali haki za vimbe vyote sio binaadamu tu. Katika uislam huruhusiwi hata kuuwa wanyama ovyo au kukata miti seuze kutoa roho ya binaadamu. Hizi picha na video ni za kutengeneza ili watu wachukie uislam lakini wenye akili wanaelewa kuwa hayo...
  7. Miss Mamu

    Niko njia panda ushaurii wenu tafadhari

    Nimemshauri kutokana na alivyojieleza, amesema yeye ni muislam na anapenda dini yake. Kumshauri abadili dini ni kosa katika dini yake. Any way huu ulikuwa ni ushauri kwa mtoa mada tu si kwa watu wote.
  8. Miss Mamu

    Niko njia panda ushaurii wenu tafadhari

    Kama ni muislam unahitaji toba ya kweli kwa sababu hayo uloyafanya kuzaa nje ya ndoa, kuwapinga wazazi wako, na mengine ni makosa makubwa. Kama kweli unaupenda uislam na unauamini kuwa ndio dini sahihi msilimishe na huyo mtu wako kama akupenda kweli atasilimu. Any way ushahidi wa kipi unakipenda...
  9. Miss Mamu

    Papa Francis: There are limits to free expression

    Pole sana si nakwambia kazi yako copy and paste without understanding, huyu jamaa katika video anazungumza uongo mtupu and you take it as evidence! Huyu jamaa hata akipewa mwanafunzi tu katika madrasa ya kiislam hawezi kudebate naye seuze apate wataalam. Ni muhimu kusoma kwa kufahamu sio kusoma...
  10. Miss Mamu

    Papa Francis: There are limits to free expression

    Kama umeridhika kuwa jesus ni Mungu kwako endelea kumuabudu hakuna ugomvi tuache waislam tumuabudu ALLAH mmoja tu, huna haja ya kujifanya mjuaji wa uislam kwani huelewi chochote katika uislam siku utakayoelewa utanyamaza kimya.waulize mapadri wakubwa walioijua biblia na wakafahamu quran kwa nini...
  11. Miss Mamu

    Papa Francis: There are limits to free expression

    Ndugu yangu, waislam wanaheshimu uhuru wa dini nyengine, muislam hampingi mkristo kuisoma biblia hata kama inapingana na Quran, ukisema waislam wanakashifu wanaposema yesu si mungu ni sawa na kuwambia wasisome Quran. Wanasema yesu si mungu kwa sbb ndivyo Quran inavyosema na wakristo wanasema...
  12. Miss Mamu

    Sultan Qaboos karibu Tanzania

    Si ndio waliopindua? wao wanamapinduzi ndio wanaona wana haki ya kuiongoza znz na ndio maana wananadi kila siku "mapinduzi daima".Sisi wanyonge tupo tunaangalia Allah atakapotupeleka
  13. Miss Mamu

    Papa Francis: There are limits to free expression

    Ndugu Ishmael ikiwa tunatafsiri hivyo kuwa Mungu ni nuru so kila mwenye nuru pia ni Mungu tunakosea. Mfano inasemwa Mungu anaona na anaskia jee kila mwenye sifa hizi atakuwa mungu pia? Kuna sifa unique za Mungu ambazo hawezi kuwa nazo ila Mungu, mfano hazai, hakuzaliwa, hali, halali, haumwi...
  14. Miss Mamu

    Papa Francis: There are limits to free expression

    Ndugu yangu, waislam wanaheshimu uhuru wa dini nyengine, muislam hampingi mkristo kuisoma biblia hata kama inapingana na Quran, ukisema waislam wanakashifu wanaposema yesu si mungu ni sawa na kuwambia wasisome Quran. Wanasema yesu si mungu kwa sbb ndivyo Quran inavyosema na wakristo wanasema...
  15. Miss Mamu

    Sultan Qaboos karibu Tanzania

    Hizo ndio faida za mapinduzi matukufu tunazojivunia
  16. Miss Mamu

    Sultan Qaboos karibu Tanzania

    Tunamkaribisha Zinjibaar
  17. Miss Mamu

    Siku hizi kuchanganya siasa na dini Rukhsa?

    Siasa ni dii na dini ni siasa havitenganishiki
  18. Miss Mamu

    Je wanyama na mimea wana roho (do animal and plants have soul)

    Maswali mengine hata ukiyapatia majawabu sahihi hayakusaidii. Hata tukijua kuwa wanyama na miti vina roho au havina tutafaidika nini? Ikiwa tunaamini Mungu ndo kaumba kila kitu tumuachie tu mwenyewe ndo anajua alivyoumba na mwisho wa hivyo alivyoviumba.
Back
Top Bottom