Je wanyama na mimea wana roho (do animal and plants have soul)

Sawa,chanzo cha uhai ni Mungu,lakini Mungu ni uhai?

Mungu kuwa ni uhai hakufanyi yeye awe ndio uhai

Kwani ni unadhani hakuna tofauti kati ya uhai na roho?

Hujui kama inawezekana mbwa yupo hai kwasababu ana uhai lakini sio kwamba ana roho?

Binadamu ana uhai lakini sio kwasababu ana roho bali ni kwasababu moja kati ya vilivyiunda roho ni uhai?

Hivi unajua kama kuna roho ya mauti?

Kama unadhani uhai ni roho pekee jua kuwa unajidanganya sana na unapaswa kufikiri zaidi!

Mkuu naona hatuelewani, unanijibu kwa yale uliyolishwa ambayo hata kwenye biblia hakuna!!!!!
Nimeuliza swali wewe unatoa maelezo!!!
 
Nimeshakwambia sema hutaki kuelewa.
Kwanini niseme hivyo?

Hivi unajua maana ya "kwanini"?
Nenda kwenye Google translate type Nafsi Kiswahili maana yake inakuja Soul kwa English haiji Spirit.
First thing first,nani kakua mbia google translate iko sahihi?

Kwanini mimi niwe wrong na google iwe sahihi?

Nani kaweka hiyo tafsiri huko?

Pamoja na hayo,kwanini usiweke hapa hicho ulichokielewa huko nikakuchallenge?

Huko google nitamchalenge nani?

Halafu unajua maana ya kujadili jambo hapa?

Kama tutakuwa tunaambiana "nenda google" kuna haja gani ya kuwa na forum kama hii?

Google imenyang'anya kabisa uwezo wako wa kufikiri hadi udhani kila kilichoko huko ni sahihi tu?

Hebu jaribu kuwa mtu huru hata mara moja basi
That simple!
Simple is not simple by the way ....!!
 
Mkuu naona hatuelewani, unanijibu kwa yale uliyolishwa ambayo hata kwenye biblia hakuna!!!!!
Nimeuliza swali wewe unatoa maelezo!!!

Kipi nimesema hakipo kwenye biblia?

Kipi ambacho wewe unasema na hujalishwa?

Kipi nilichosema na nimelishwa?

Sasa kama hutaki maelezo unataka nini sasa?

Na kwa mtindo huu wa kuuliza kitu ambacho hujui kinakuletea nini ni kweli hatutaelewana!
 
Ngoja niishie hapa mkuu.
 
Sasa nafsi si ndio roho yenyewe.

Mkuu,

Ngoja nikuambie kitu

Roho na nafsi ni vitu viwili tofauti kabisa

Roho ni spirit
Nafsi ni soul

Hili ni tatizo la wengi na wengine wanabisha huku wakiwa sahihi bila kuwa na sababu

Kwahiyo mkuu wanyama wanaweza kuwa na uhai na wasiwe na spirit ila wakawa ni nafsi hai [soul]

Jambo hili tulishalijadili sana hapa : https://www.jamiiforums.com/dini-im...yansi-kutokuwa-ndio-mamlaka-ya-mwisho-21.html

Kama huna access kwenye jukwaa la dini muombe Invisible kwa kumtumia PM na atakupa na utajionea mengi humo kwa faida yako!
 
Define hizo terms kwanza, tuanzie hapo.
 
Kwanini niseme hivyo?

Hivi unajua maana ya "kwanini"?

First thing first,nani kakua mbia google translate iko sahihi?

Kwanini mimi niwe wrong na google iwe sahihi?

Nani kaweka hiyo tafsiri huko?

Pamoja na hayo,kwanini usiweke hapa hicho ulichokielewa huko nikakuchallenge?

Huko google nitamchalenge nani?

Halafu unajua maana ya kujadili jambo hapa?

Kama tutakuwa tunaambiana "nenda google" kuna haja gani ya kuwa na forum kama hii?

Google imenyang'anya kabisa uwezo wako wa kufikiri hadi udhani kila kilichoko huko ni sahihi tu?

Hebu jaribu kuwa mtu huru hata mara moja basi

Simple is not simple by the way ....!!

We all have limitations kwenye uwezo wetu wa kuelewa mambo, tukitambua hilo inakuwa rahisi sana na inatupa room ya kujifunza kwa njia ya kujadiliana na nyinginezo. Being confrontational will not help you grow but will confuse you even more than you are right now.
Take time na nenda kwa wenye ujuzi wa lugha na hata wale waliobobea kwenye spiritual matters wanaweza kukuelewesha zaidi.
Kwangu binafsi a soul/ego ni nafsi na spirit/energy ni roho/nguvu
 
Kwanza namna viumbe vingine tofauti na Binadamu viliumbwa kwa Mungu kutamka tu,yaani neno ndilo lililoumba [Yesu],lakini binadamu aliumbwa au kwa lugha nyingine Mungu mkamilifu [nafsi zote tatu] zilihusika kwenye uumbaji wa mwanadamu na hata alivyoumbwa imeelezwa,kwa maana hiyo basi viumbe vingine vina uhai lakini havina roho

Nasema hivyo kwasababu Mungu ni roho na wakati anamuumba binadamu alisema kabisa "tumuumbe mtu kwa mfano wetu [roho]" lakini wakati anamuumba binadamu hakusema hivyo,kwa maana hiyo kama hakumuumba mbuzi au ng'ombe kwa mfano wake na Mungu ni roho basi hao wengine hawana ule mfanano wa Mungu ambao ni roho

Nikija kwenye hoja yako ya uwepo wa viumbe wengine baada ya maisha haya ni kwamba kwanza haijaelezwa kuwa vitafufuliwa hivi ambavyo leo vinakufa bali imeelezwa vitakuwepo kama hivi,sasa kwa maana hii ni kwamba inawezekana vitaumbwa vingine tofauti na hivi na tutaishi navyo milele bila kuharibika!

nakubaliana na ww hilo. ndio jibu
 
Mkuu,

Ngoja nikuambie kitu

Roho na nafsi ni vitu viwili tofauti kabisa

Roho ni spirit
Nafsi ni soul

Hili ni tatizo la wengi na wengine wanabisha huku wakiwa sahihi bila kuwa na sababu

Kwahiyo mkuu wanyama wanaweza kuwa na uhai na wasiwe na spirit ila wakawa ni nafsi hai [soul]

Jambo hili tulishalijadili sana hapa : https://www.jamiiforums.com/dini-im...yansi-kutokuwa-ndio-mamlaka-ya-mwisho-21.html

Kama huna access kwenye jukwaa la dini muombe Invisible kwa kumtumia PM na atakupa na utajionea mengi humo kwa faida yako!

yeah roho-spirit na soul- nafsi - nivitu viwili tofaiti ndio maana shetani anaweza cheza na nafsi yako na sio roho, hata mchawi anachukua nafsi yako ila roho hata abinuke vipi awezi chukua roho yako
 
Ni nguvu ambayo haionekani kwa macho yetu ya kawaida kwasababu ni kama upepo,nguvu hii ndio iliyoko ndani ya mwanadamu na ndio ambayo inampa uhai na ndio maana inahusishwa na pumzi!

upepo unapimika roho inapimika? kama ni nguvu yaan force basi inapimika kwan force zote zinapimika sasa iyo roho inapimikaje kama ni force otherwise si force!!!!
 
Nimeshakwambia sema hutaki kuelewa. Nenda kwenye Google translate type Nafsi Kiswahili maana yake inakuja Soul kwa English haiji Spirit. That simple!
Hebu muulize anapotamka neno Holy spirit anakuwa na maana ya nafsi takatifu? Au Roho m/takatifu? Asipo kuelewa tena mwitie kifimbo cheza AkA faiza foxy
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana 'wasomi' huwa kwanza wanafanya definition. Mie bado najiuliza:
"Soul" ni nini hasa? Ndio "roho" kwa kiswahili?
"Spirit" ni nini hasa? Ndio "roho" kwa kiswahili?
"Uhai" ni nini?
"Nafsi" ni nini?
"Roho" ni nini hasa?
"pepo/mapepo" nayo ni nini?
"Wanyama" ni nini? (binaadamu ni mnyama?),
"Mimea" ni nini hasa?
 
Maswali mengine hata ukiyapatia majawabu sahihi hayakusaidii. Hata tukijua kuwa wanyama na miti vina roho au havina tutafaidika nini? Ikiwa tunaamini Mungu ndo kaumba kila kitu tumuachie tu mwenyewe ndo anajua alivyoumba na mwisho wa hivyo alivyoviumba.
 
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote kwamba kuna roho popote.

Licha ya kuulizia mara lukuki kutaka kupewa uthibitisho au hata ushahidi tu.
 
upepo unapimika roho inapimika? kama ni nguvu yaan force basi inapimika kwan force zote zinapimika sasa iyo roho inapimikaje kama ni force otherwise si force!!!!

wewe nimekwambia uwezo wako wa kutafakari umeghoshiwa,upepo unapimika na kuleweka katika ulimwengu wa sayansi kadri ya makubaliano ya kisayansi.
umeulizwa kipimo cha upendo umeanza kuhangaika na links.
hujijui tu ! lakini tafakari inakupa shida sana hasa kwa visivyo matter...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom