Serikali: Tanzania haina haki miliki ya jina la Mlima Kilimanjaro

KLM mbona wametumia siku nyingi tu.....

images
at least KLM lands at kilimanjaro international airport hivyo wanaleta watalii na wapanda mlima pale. ulishawahi kuona kenya airways imetua KIA?
 
Hauna haja ya kutumia lugha ya dharau na matusi kujibu hoja yangu. Inawezekana kufahamu kwangu kusiwe sahihi lakini hii sio warrant ya wewe kunitukana wakati hunijui. Na ni nani aliyekwambia kwamba mimi ni Nshomire? JF inakwenda inapoteza mvuto kwa kuwa na watu wasiojua maana ya mjadala.

Naomba niishie hapa.

Tiba
mama pole kama umekwazika. potezea. halafu tutafutane basi weekend hii walau tupate viburudisho....au
 
Kwani tuna serikali tuna upuuzi unaowaza ufisadi na kuteua malaya kuwa ma Dc,Rc tu.Yani hawa tutapiga risasi tu huko mbele ya safari bado kidogo.
 
Kwa ufupi Tanzania iko na mlima nasi Kenya tunafaidi kwa jina.hatuwezi beba mlima lakini twaweza andika jina chini. tunachohitaji ni rangi, brush tosha na jina twaliandika KILIMANJARO. yani utadhani huu mlima ni wetu hata wanafunzi wadogo Kenya ukiwauliza mlima Kilimanjaro upo wapi watakwambia upo Kenya
 
Ndugu ondoa jazba kwanza unapotaka kujadili mambo kama haya! Huwezi kulinganisha nyimbo za mtu ambazo ni kazi ya mtu aliyoitengeneza mwenyewe na Mlima ambao uko tu na sisi tumeukuta hivyo ni nani anakupa haki ya kuumiliki?

Hakuna sheria Dunia hii inayokataza Mtu kutumia jina la Ml.Kilimanjaro kwa maana hiyo hakuna mahali ambapo utakwenda kudai Wakenya wafute hilo jina kwenye ndege yao kwa maana huo Ml. SIYO mali yetu bali ni mali ya Binadamu wote na umetokea tu kuwa ndani ya Mipaka yetu ingekuwa Wakenya wameandika Safari lager kwenye ndege yao hapo tungewashitaki kwa maana hiyo ni brand yetu tuliyoitengenza na kama tukithibitisha hilo basi sheria itatulinda!

Ngoja nikuulize swali leo hii Tanzania tukaandika kwenye AIR TZ Sahara desert unafikiri kuna Mtu atalalamika? Na unafikiri ni kwanini? Lile ni jangwa na si mali ya mtu bali ni ya binadamu wote!
Na vivyo Ml.Kili na Serikali wanalijua hili na ndio maana mpaka leo hakuna kitu wamefanya kwa maana hakuna kitu wanaweza kufanya, hivi unafifikri wewe ndio wa kwanza kuona hilo? Kenya Airways imeandikwa Kilimanjaro tangu enzi za Nyerere lkn hakuna sheria ya kuwakataza elewa hilo!

Hata Rwanda kwenye matangazo yao ya kuita watalii wanaonyesha Ml.Kili kwamba ni fahari ya Afrika sasa utawazuia? Na kwa sheria gani?
View attachment INTANGIBLE CULTURAL HERITAGE-FOLKLORE.doc

ANGALIA hiyo document labda utarudi uongee vingine.
 
Unaonyesha jinsi uelewa wako ulivyo mdogo kwenye haya mambo, unasema afadhali ya KLM inatua KIA inaleta Watalii, Je unajua ya kwamba Kenya Airways inamilikiwa na KLM? Kama ulikuwa haujui mara nyingi KLM inayotoka Amsterdam kuja KIA huwa ni Kenya Airways/KLM na hata ukitaka kukata tiketi ya KLM, Dar unakwenda ofisi za KLM/Kenya Airways jaribu kujifunza kwanza kabla na usiweke jazba mbele kwa mambo usiyoyaelewa (vizuri!)
dada, punguza hasira. KQ haimilikiwi na KLM, wale ni partners tu wa kusaidiana kukusanya wateja ili sehemu zile ambazo kenya airways hawaendi kwasababu hawana ndege, watu watumie klm. ni namna tu ya kuunganisha upatikanaji wa wateja kwamba ngoja tukusanye wateja pamoja. umejiona ulivyo poyoyo? kwahiyo mabasi ya abudi na mohamed trans wakitumia ofisi moja ya kukatishia tiketi wewe unaamini kampuni moja inaimiliki yenzie?
 
Kuna kiongoazi wa kukumbuka kufuatilia hayo mambo!!... Kila mtu ndani ya CCM ni kujikomba kwa Kikwete ili ateuliwe angalau U-DC..

CCM imetufanya tuonekane mabwege, wajinga tusiojitambua duniani.. Shame!!!!

Jaman tusaidiane kuelimishana tuwapige chini hawa MACCM la sivyo tutaendelea kuumia sisi pamoja na vizazi vyetu!!

Hata ikiwa ni kweli ukiwatoa utamuweka nani
 
Sina uhakika sana katika hili lakini nadhani kwenye majina haki miliki siyo sawa na haki milki katika masuala kama muziki, vitabu au tafiti, n.k. Santiago nilienda kwenye club moja nzuri sana inaitwa ZANZIBAR. Sina uhakika jina hilo lilichukuliwa toka hii ZANZIBAR yetu au ni neno ambalo lipo pia huko kwao kwa tafsiri tofauti. Hapo Dar kuna eneo linaitwa Morocco. Je, Wamorocco wanaweza kutushtaki kama ikithibitika kuwa utumiaji wa jina hilo unatupa faida za kiuchumi?

Sidhani kama mimi nikijiita Hute, unaweza kunishtaki ukashinda ingawa naweza kufanya hivyo ili kujinufaisha.

wewe kwako ni poa tu kwasababu hauna akili. unazijua intellectual property? chukua mfano, zile nyimbo za domo (diamond) ambazo mnazipenda ninyi wavaa mlegezo, ukiucopy na kuuimba bila ruhusa yake anakushitaki. iwe nyimbo au kitabu au invention yeyote ya mtu ukiiiga au kuitumia bila ruhusa yake anakushitaki.

sasa na kwenye taifa, kila taifa, kuna kitu kinaitwa folklore rights. hizi ni zile tunu za taifa ambazo zinalitambulisha taifa, huwa ni haki ya taifa hilo tu. mfano, mlima kilimanjaro unaitambulisha tz. serengeti au urithi wowote unaoitambulisha tz ni haki ya tz. mtu mwingine wa nje akitaka kutumia itabidi aombe ruhusa na atakuwa analipia percentage kwa mkataba kabisa.

sasa wakenya wameandika kwenye ndege zao mlima kilimanjaro ili wapate watalii wengii waje nairobi, na nyie wabongo wamewaban hakuna kupeleka magari kubeba abiria kenyatta airpot. halafu unashangaa shangaa tu.
 
Hapa kwetu kuna barabara ya Mwai Kibaki
kwahiyo unalinganisha jina la mtu binafsi na mlima kilimanjaro? kwani mwai kibaki ni cultural heritage ya wakenya? hahahaha, kweli wewe ni mtumba.
 
Sina uhakika sana katika hili lakini nadhani kwenye majina haki miliki siyo sawa na haki milki katika masuala kama muziki, vitabu au tafiti, n.k. Santiago nilienda kwenye club moja nzuri sana inaitwa ZANZIBAR. Sina uhakika jina hilo lilichukuliwa toka hii ZANZIBAR yetu au ni neno ambalo lipo pia huko kwao kwa tafsiri tofauti. Hapo Dar kuna eneo linaitwa Morocco. Je, Wamorocco wanaweza kutushtaki kama ikithibitika kuwa utumiaji wa jina hilo unatupa faida za kiuchumi?

Sidhani kama mimi nikijiita Hute, unaweza kunishtaki ukashinda ingawa naweza kufanya hivyo ili kujinufaisha.
zanzibar kama nchi sio national heritage. barabara ya moroco etc sio national heritage. tunachozungumzia hapa ni jina la urithi ambao sisi watz tunatumia kupata watalii, jina la kilimanjaro kutumiwa na mtu mwingine kibiashara. sio kwamba kilimanjaro imetajwa jina la mtaa fulani nairobi, au jina la bar flan hapana, ni jina la ndege na watalii wanapanda ndege yao ili kuuona mlima kilimanjaro ambao hata haupo kenya. bila hilo jina wasingepata wataliii. unaona vinalingana?
 
KLM walinunua asilimia kadhaa ya Kenya Airways na Kenya Airways wakanunua Precison Air.....

Mbona sisi tumeiga jina la watu......

Tanzania_Mafia_district_wards_map.png

at least KLM lands at kilimanjaro international airport hivyo wanaleta watalii na wapanda mlima pale. ulishawahi kuona kenya airways imetua KIA?
 
kwahiyo unalinganisha jina la mtu binafsi na mlima kilimanjaro? kwani mwai kibaki ni cultural heritage ya wakenya? hahahaha, kweli wewe ni mtumba.

Ni ngumu kunielewa kama unatumia akili ya kawaida. Panua Mawazo utanielewa tu mkuu.

In short. Tunashabikia sifa zakijinga kuliko kujikita kwenye kujitangaza duniani kwa faida. Wakenya wametumia Kilimanjaro kwa faida ya taifa lao na kutuibia sisi natural cultural heritage kiakili sana, sasa jiulize sisi hilo jina la barabara ya Mwai kibaki inatusaidia nini kama taifa. Ni bora ile barabara tuiite NAMTUMBA.
 
HILO swali ilitakiwa ujiulize wewe na kujijibu wewe kwasababu mimi wala sikulinganisha mlima kilimanjaro na jina la barabara ya mwai kibaki. au?
 
Hata ikiwa ni kweli ukiwatoa utamuweka nani

Hata kama hakuna, lakini kikubwa ni wao kutoka kwanza.. hata jiwe tutaweka.. Naamin wakiwa nje ya system watakuwa na fursa pana ya kujifunza wapi walipokosea na wanatakiwa wajirekebishe vipi ili warudi..

Jitahidi kufikiri nje ya box!!...
 
Kwa ufupi Tanzania iko na mlima nasi Kenya tunafaidi kwa jina.hatuwezi beba mlima lakini twaweza andika jina chini. tunachohitaji ni rangi, brush tosha na jina twaliandika KILIMANJARO. yani utadhani huu mlima ni wetu hata wanafunzi wadogo Kenya ukiwauliza mlima Kilimanjaro upo wapi watakwambia upo Kenya

Naamini sana maneno yako hata wageni wengi wanafahamu mlima Kilimanjaro upo Kenya mimi binafsi nimewahi kuishi katika nchi mbili za wazungu lakini nikiwaambia mlima Kilimanjaro upo Tanzania wanashangaa sana wala hawakubali kwa sababu wanasoma katika vitabu kuwa mt. Kilimanjaro upo kenya. Nadhani viongozi wetu wa Tanzania wanajukumu la kutangazia ulimwengu ukweli juu ya hili.
 
Back
Top Bottom